Mbwembwe za Airtel ni uzuri wa mkakasi kumbe ndani kipande cha mti. Matangazo kibao, mara mpitishe mibasi myekundu ns kuwashawishi watu wahamie kwenu. Upompo mtupu.
Mnahangaikia nini kumbe ni...
Wana-JF na waTanzania wote wenye mapenzi mema.
Mimi naona swala la kupiga kelele haitoshi. Kila mtu anaathirika na ufisadi kwa njia moja au nyingine. Hawa mafisadi wanatufanya tushindwe...
Habari wakuu, kama kuna kipindi kiliwaha kunivutia TBC1 basi ni ile tamthilia ya kichina ambayo ilitafsiriwa kwa kiswahili Moudoudo na Wakwe zake, kwakweli ilinivutia na nilikuwa naifuatilia...
Nawasalimu wana jf wote, naombeni updates kuhusu major reshuffle immigration aliyoahidi mh waziri Nahodha je imeshafanyika? If so je kuna mabadiliko yoyote ktk idara hiyo nyeti.
Naomba...
Nimejiuliza mengi kuhusiana na hizo fedha zinazorejeshwa serikalini bila kupata jibu la matumizi yake. Je hizi fedha zinatumika kwa shughuli gani au kwa manufaa ya nani? Isije ikawa zinaingia...
Hebu niambieni nyie TBC, matangazo yenu ya habari ya saa mbili usiku huwa ni nini hasa, documentary, makala, tahariri, majaribio au nini,
Jana nilikuwa naangalia matangazo hayo ambayo wao...
Wana JF,
Naomba msaada wa wataalam wa picha na TV.
Kuna kitu kwenye picha kinaitwa "aspect ratio", hii ni ratio ya urefu na upana wa picha ili picha ionekane katika uhalisia wake.Katika TV za...
Tetesi ambazo nimezipata toka chanzo cha ndani cha familia ya Mh. Lowasa ni kuwa Waziri Mkuu huyo mstaafu anapendelea mwanye mkubwa wa kiume ndiye amrithi kiti cha ubunge kwa jimbo la Monduli...
Wadau naomba kujuzwa ni wapi naweza pata bendera za CDM kama tano hivi zile kubwa tunataka kufunga kwenye vijitawi vyetu kwani bendera za magamba zinatukera sanaaaaa.
Bendera hizo ni kwaajiri...
When talking about the pace of life in China, theres only one word: fast. We have the fastest trains, the fastest runners and newest skyscrapers. None of this though beats the recent Youtube...
salaam DCI,
Pole kwa home work ngumu uliyonayo ya kututafutia uliko ipata ile ripoti yako ya ndugu yetu Dk. Mwakyembe. Napenda ujue kuwa hatuja sahau na nakushauri usisubiri kuumbuliwa
Wadau wa humu JF ninaomba msaada wa kuweka kifurushi cha mwezi kwenye moderm ya airtel maana zamani ulikuwa unatuma neno intaneti na unajibiwaujibu ndio na ukikubali unaunganishwa kwa shilingi...
Aliyekaribishwa Ikulu ampa JK sharti la kupanda mlima
Send to a friend
Wednesday, 14 March 2012 19:13
0diggsdigg
Salum Maige,Geita
SAKATA la muhubiri na muumini wa Kanisa la Kibaptist...
mabomba hayatoi maji ,mitaro imeziba miundo mbinu imechakaa sehemu ya kuweka taka ni hoteli majiko ya kukangia samaki ya makaa ya mawe wanatumia kuni maji ya kupoozea mkaa wanatumia vibobo...
Imekuwa ni kawaida kwa TANESCO kutoa tamko pale ambapo kunakuwa na kukatika kwa UMEME.Ni muda sasa kumekuwepo na kukatika kwa umeme maeneo mengi ya nchi, nimejaribu kufuatilia ni nini tatizo...
Mheshimiwa Lowasa karudi kutoka German jana na kuthibitisha kwamba yuko fiti kiafya tayari kwa mapambano yaliyo mbele yake. Hivi wana JF ni mapambano gani hayo?
Habari wadau
Hivi karibuni nimejionea hapa Dar es salaam watu wanaweka plate namba kwenye magari zina majina yao. Mfano kuna magari yamewekwa jina RICH na majina mengineyo.
Hivi hii inaruhusiwa...
Kwa muda wa wiki sasa hii runinga ya taifa imekuwa ikifanya vituko vya ajabu kwenye vipindi vyake na hasa Taarifa ya habari. Humu ndani kuna topiki zaidi ya kumi zinazoongelea/lalamikia namna TBC...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.