Mtandao wa Simu wa tiGO kukata Tsh 34/=

Suip

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,314
759
Kwa wana JF anayefahamu hili la mtandao wa simu wa tiGO kutoza TZs 34/= kila siku kutoka katika salio langu bila sababu, kwani mimi si mtumiaji sana kupigia mtandao huo kutokana na watumiaji wengi katika eneo letu hutumia VodaCom, ila mimi nautumia kuperuzi internet siku packet data ya voda inapogoma. Ni juzi tu niliongeza salio na mpaka leo hii wameshanikata Tshs 102 na sijampigia mtu wala kuperuzi internet. Kwa anayefahamu anisaidie kwani nimewapigia customer care hawapokei.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom