Brightman Jr
JF-Expert Member
- Mar 22, 2009
- 1,225
- 232
Jamani niko safarini kutoka Shy kwenda Mby kupitia Nzega,Tbr, nk. Hii bac nnayo safiri nayo imejaza abiria hadi wengine wamesimama. Sasa shida iko hapa.., kuna jamaa kasimama karibu nami hapa, yaani makalio anayalengesha karibu na pua yangu yaani kuna harufu kali inatoka, si ile ya kupuliza la hasha.! Nikimwambia sogea huko kidogo jamaa haelewi, halafu bonge la baunsa. Jaman huu ni ungwana kweli? Harufu hii mpk Mby nitapona?