Mbona tanesko hamtoi taarifa kama kuna mgawo wa umeme

Marumeso

JF-Expert Member
Oct 3, 2009
1,410
1,313
Kila siku nikirudi nyumbani naambiwa umeme haujawaka mchana kutwa. Utawashwa jioni kwa muda mfupi then unakatwa na kuwashwa tena usiku mwingi.


Kama kuna mgao kwanini tanesko hawatoi taarifa basi!
 
Huku Marangu tushazoea kugawiwa giza na tanesco. Hadi sasa hivi saa tatu kasoro usiku hatujapata umeme!
 
Back
Top Bottom