Nauza kura yangu ya Urais wa 2015 kwa bei 0

Midavudavu

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
287
59
Kura yangu itakwenda kwa mwanasiasa yoyote mwenye chama cha siasa au asiye kuwa na chama cha siasa atakaye nihakikishia kuwa mara baada ya kupata Uraisi atakuwa tayari kurudisha Azimio la Arusha. Kura yangu inapatikana bure. Nakumbuka maneneo ya Baba yetu mpendwa ambayo kila nikiyarudia yananitoa machozi kutokana na yanayotendaka sasa hivi katika Nchi hii " Tulikuwa na miioko ya uongozi; wenzetu wakaenda Zanzibar na waliporudi wanafanya mambo ambayo hayaendani na Azio la Arusha; wenye akili tukagundua kuwa limekwisha"
 
hata mwaka 2010 si ulimuuzia jk kwaajili ya barabara za juuu!
 
Back
Top Bottom