Zoezi la kuzima moto airport Dar lawashtua watu...

Jan 8, 2011
99
30
Kuna taarifa kuwa ndege kubwa ikiwa na abiria 200 imeanguka kiwanjwa cha JNIA na helcoper zinaonekana angani kupeleka majeruhi muhimbili.
 
hope wako kwenye practice to ya kutest preparedness na capability ya system ze2 kudeal na hizo disaster incase zikitokea!
 
RIP Julius Nyerere

Mzimu wake sasa unaibuka
avatar14388_12.gif
kwanini walimuuwa?
 
mnakumbuka kisa cha kijana mchunga kondoo mbugani?
alikuwa anatania wanakijiji kila mara kavamiwa na mbwa mwitu kila wakija hawakuti kitu aksema alikuwa anawatania
siku alipovamiwa kweli wanakijiji wakadhani ni mchezo wake ule ule kumbe kijana aliliwa na mbwa mwitu
haya mazoezi ya kila mara ipo siku matabibu watazoea na kuona kawaida hata wasijishughulishe
wawe makini na mazoezi yao ya kila mara.
 
wewe unatokea wapi?
 
Back
Top Bottom