Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nifanye nn kuweza kununua bundle kwa tigo internet.? Nahitaji na bei ya bundle wadau.?
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kesi ya kupinga ubunge wa Godbless lema inaendelea kunguruma mahakama kuu kanda ya arusha.baada ya mahakama kutupilia mbali pingamizi za awali zilizo wekwa na mawakili wa utetezi. Mwendesha...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Baada ya kugundurika kuwa Julius Nyerere aliuwa na Njama zilizofanywa na Rais Mstaafu Mpaka napendekeze Jina la uwanja wa Ndege ubadilishwe jina maana hii inaongeza maumivu kwa watanzania. Huu ni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu wanaJF, mtakumbuka hivi karibuni waandishi wa habari wa Iringa walijitokeza humu wakidai kuwa watagoma kuandika habari za serikali mkoani humo kwa vile walinyimwa posho kwenye ziara ya...
0 Reactions
1 Replies
935 Views
As an active blackberry smartphone user nimestushwa sana na habari kuwa Waziri Malima aliyeibiwa Hotelini Moro aliibiwa vitu pamoja na simu hizi.... 1.Nokia C6--sh.500,000 2.Nokia...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Kumekuwa na maneno mengi kuhusu kundi hili hasa pale TBC1 wanavyorudiarudia vipindi vya nyuma toka tuuanze mwaka 2012 na hakuna kipindi kipya kilichorushwa. Wapo wanaosema mkataba wao umekwisha...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Watu wako wamelala hali wako hai na huwa macho baada tu ya kufa. kujielekeza kwa mabaki ya matamanio ya mtu ndiko kujiuwa haraka. Ufe kabla ya kifo kukuijia. Mauti inaidhihaki tamaa.. Mauti...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari za shughuli wadau, Nimepata uhamisho wa kikazi ghafla juzi kwenda mkoani. Nyumba hii nilikuwa nimehamia mwezi huu yani yaani tarehe3, lakini ndiyo hivyo tena risks ambazo siku-foresee...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI WATEJA WAONGEZEWA MUDA KUREKEBISHA TAARIFA BENKI BENKI Kuu ya Tanzania imeongeza muda wa mwaka mmoja kwa wateja wa benki zote nchini kuboresha taarifa zao kuanzia...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Wapi naweza kupata madirisha/milango ya PVC?
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Wameamua kuipigia ccm kampeni baada ya kuona upepo haueleweki.angalia itv sasahivi
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habarini wakuu! Kumekuwa na udanganyifu mwingi kwa wanaoagiza magari toka Japan kwa kuwekewa mwaka ambao gari imetengenezwa kumbe siyo mwaka halisi bali ni mwaka gari iliposajiliwa na likifika...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Huwa kuna nyakati nasahau kakamera kangu ka mchina! So Msiniulize picha! Ila hizi ajali we acha tu! Leo asubuhi maeneo ya Kibosho road Landcruiser DFP uso kwa uso na pick up hilux. Taarifa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimenunu ile bundle ya sh. 3000 kwa siku na nikapewa MB300 kwa siku nzima. Nimenunu saa moja jioni na kutumia usiku hadi saa tano nikacheki balance bado kulikuwa na MB120. Sasa nimeamka asubuhi...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
kwa mfano ukasikia hii nyimbo wapi inakukumbusha? chama chetu chamapinduzi cha jenga nchi chama chetu chama pinduzi cha jenga nchi Nyerere aaaaaaaaaaaaaaaaah karume wajenga nchi Kawawa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wanajf nawaombeni muongozo kwa hili kuna meneja wa nmb bank tawi la hai ambaye ni mwnamke amekuwa na mahusiano na mume wa mmoja wa wafanyakazi katika bank hiyo ambao wanakaa katika ghorofa za...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani sio siri mimi ni mpenda mabadiliko lakini kwenye hili ni aibu, hapa moshi tulipambana natumehakikisha tumeipa CHADEMA manispaa lakini chakustua na kunishangaza ni kwamba karibu mwaka sasa...
0 Reactions
53 Replies
6K Views
kuna habari kuwa kila mwenye account bank anatakiwa ku-update kwa kujaza form kama vile anaanza kufungua account upya,nimesikia mwisho ni tarehe 31 march 2012 na ikifika tarehe hiyo bila ku-update...
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Mali za waziri Malima zakutwa kwa ‘ma-mdogo’ Send to a friend Monday, 13 March 2012 Fidelis Butahe KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Adolphina Chialo amesema kuwa aliyemwibia...
2 Reactions
259 Replies
21K Views
If you ask the rich about the biggest problem created from their wealth, they will usually say their kids. Qtn; Do you think it’s fair for rich parents to criticize their kids for being spoiled...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom