Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Naomba kujua kama siku tano zimeisha na agizo limetimizwa au kauli zingine ni za kwenye TV tu. ATOA SIKU TANO Dk. Magufuli, alisema mkoa wa Dar es Salaam ndio unaoongoza kwa kuvunja sheria za...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Je hili unaliona..!?pindi Dr. Slaa anaponusa sehemu ambapo kampen zinaendelea panatokea vurugu,kama siyo vijana kupigana basi wananchi kupigwa mabomu,mfano wa kwanza juzi MWANZA tumeshuhudia...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
JF :poa Wakuu mnisamehe kama nimekosea Jamvi. Ninaomba kujua Hoteli za sisi wachovu pamoja na bei zake kwenye miji hii miwili: Lubumbashi na Lusaka. Natanguliza asante.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna mhariri mmoja wa michezo pale kampuni ya The Guardian Ltd anaitwa Fred Ogoti ambaye sasa inaelezwa kuwa anasimamia dawati la michezo la Guardian On Sunday, hajui michezo, hajui kiingereza...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tunangoja usafiri wenzenu!! tukiwa tunasubiri usafiri wakina mama wafanya biashara ndogo ndogo wakikwa wanasubiri usafiri. haya tena!!
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu ndani na nje ya JF...heshima kwenu, nawaombeni tuchangie hoja kwa nini? umechukuliwa uamuzi wa kusafirisha gas kutoka Mtwara hadi Dar es salaam? nionavyo mimi gharama za kusafirisha hiyo Gas...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
nimepita mitaa fulani ya kilimahewa, nimekuta vijana wakiendelea na ujenzi wa mitaro katika moja ya barabara za mitaani, nimekuta vijana wakiendelea na ujenzi wa mtaro katika barabara iliyokuwa na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Juzi, Serikali kupitia Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo ilielezea kwa mara nyingine tena masikitiko yake kuhusiana na vitendo vya hujuma za makusudi dhidi ya miundombinu ya Uwanja wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
NI UKWELI ULIO WAZI KWAMBA MAKAMPENI MENEJA WA CCM HUKO ARUMERU AKIWEMO MWIGULU WANATUMIA RUSHWA, FITINA, MAJUNGU,UONGO NA KILA AINA YA UCHAFU KUKIPAKA MATOPE CHAMA CHA WATU CHADEMA, KAMPENI HIZI...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimepokea taarifa za msiba wa mwanafunzi wa chuo cha ualimu nachingwea aitwaye anna tuli mwaka wa kwanza (grade iiia) kilichotokea huko wilayani ruangwa-lindi alikokuwa akifanya mazoezi (teaching...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Mkurugenzi wa tanesiko amekiri kuwa tanesco iko hoi wanatarijia kukopa ili wafanye ukarabati wa mitambo. Bakuli lao la mkopo likifail tunarudi gizani. Star tv 18/03/2012
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Katika kile kinachoonekana ni kudhibiti wafanyakazi hewa,Serikali kupitia Wizara ya Utumshi wa umma imeanza uhakiki wa wafanyakazi wake.Kwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,uhakiki umeanza asubuhi hii...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama bado unaimani na Tbc reply neno YES kama huna imani na Tbc reply neno NO matokeo yatatolewa hapahapa jf
0 Reactions
77 Replies
5K Views
Katika hali isiyo ya kawaida wimbi la vijana wanaodurufu(copy) na kuuza CD`s,VCD`s na DVD`s mbalimbali hasa za maigizo,muziki na nyimbo lazidi kuongezeka siku hadi siku katika maeneo mbalimbali ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mimi ni mtanzania na ninawajibika kwa nchi yangu kama inavyostahhili kwa raia mzalendo yoyote katika nchi yake ikiwa ni pamoja na kulipa kodi na kuheshimu sheria zote za nchi.kwa sababu hiyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mawasiliano ya uhakika ni moja ya nyenzo muhimu katika viashiria vya maendeleo katika mataifa yote duniani. Kuongezeka kwa Teknolojia mpya na upatikanaji wa mawasiliano ya haraka kumerahisisha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wale wataalam wa biology ,kama hiv hushambulia seli hai na husababisha magonjwa mengi ,kwanini watalan wasitafute kidonge kitachotibu magonjwa yote yaletwayo na HIV
0 Reactions
1 Replies
799 Views
Kwa mwendo huu, ni kweli WALI WA KUSHIBA UNAONEKANA KWENYE SAHANI..
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau naombeni msaada. Nahitaji kufahamu malipo ya Premium na Compact packages kwa sasa ni hela ngapi. Nimewapigia Customer Care bila mafanikio.
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Back
Top Bottom