Dr. Slaa na vurugu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Slaa na vurugu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Hansen Nasli, Mar 19, 2012.

 1. H

  Hansen Nasli JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 18, 2012
  Messages: 881
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Je hili unaliona..!?pindi Dr. Slaa anaponusa sehemu ambapo kampen zinaendelea panatokea vurugu,kama siyo vijana kupigana basi wananchi kupigwa mabomu,mfano wa kwanza juzi MWANZA tumeshuhudia vurugu kutokea baada ya yeye kutoka kuhutubia mkutano,tunasikia vurugu nyingine ARUMERU baada ya yeye kuingia katika viunga hivyo!je kulikoni?
   
 2. T

  Temba Innocent Jvr Member

  #2
  Mar 19, 2012
  Joined: Feb 1, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  umesha isoma hii hapahapa Jf?Usiku huu timu ya kampeni ya CCM na ile ya CHADEMA wamejikuta wakipambana kwa dakika kadhaa katika eneo la Meru Garden wilayani Arumeru ambapo ilidaiwa kuwa CCM walikuwa pale kutoa hongo kwa watu kadhaa na kisha Chadema kugundua mchezo huo na kuvamia kwa lengo la kuwakamata na kuwasambaratisha.

  Ugomvi huo unadaiwa kusababisha gari la Violet kuvunjwa vioo kwa mawe na kisha CCM wakaenda kuripoti jambo hilo polisi na kudai kuwa wamevamiwa wakati wakiwa katika starehe zao Bar.

  Taarifa zaidi juu ya tukio hili tutazipata asubuhi na maendeleo yake. Lakini kwa ufupi hivyo ndivyo mambo yalivyotokea usiku huu
   
 3. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  temba kumbe uko huku pia? Safi sana.
   
 4. T

  The Big G Member

  #4
  Mar 19, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 80
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 15
  DR Slaa ni mashine kubwa kila anapokanyaga ccm wanaingiwa na hofu na hata kufikia hatua ya kufanya hujuma mbalimbali kama kugawa rushwa na kutumia vijana wao kufanya vurugu huku wakisingizia kuwa ni vijana wa chadema, naona baada ya matusi kugonga mwamba wameamua vurugu kisha wakimbilie polisi amabako watabebwa kama kwa Tendwa,
   
 5. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #5
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Kazi kweli kweli! Mnafurahia wenyewee!
   
 6. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #6
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,855
  Likes Received: 2,430
  Trophy Points: 280
  Hawa Chadema wawe makini sana ...tayari mkakati wa ccm wa IGunga unaendelea ...kwa kutumia genge la wahuni 200 waliosafirishwa toka Mara....vijana Hawa Wana silaha....bastola,mapanga,visu ,sime ,bisbisi ,acid etc...

  LENGo...

  1.kuchoma moto nyumba za wenyeji ambao ni wana ccm na kusingiZia ni Chadema.
  2.kuteka na kupora wana ccm ionekane ni Chadema
  3.kurushia mawe magari ya ccm wenzao na kusingiZia Chadema
  4.kuteka watu na kuwauwa...ie Hawa kule IGunga waliua zaidi ya watu 15..-ambao baada ya uchaguzi Maiti za watu walopotea ziliendelea kuonekana.
  5.kumwagia watu tindikali zionekane ni Chadema
  6.kufanya vurugu wakati matokeo ya awali yanaanZa kutoka ili ccm wapate Mwanya wakuite ffu .....warushe mabomu,ffu watakuja wakiwa na mabox tayari na wakati watu wanajifunika na moshi wa mabomu wao watabadili matokeo...

  NINI Kifanyike?

  Chadema wahubiri Amani mikutanoni..
  Wawasisitize vijana wao kuwa makini na watu wanaowachikoza au wanaovaaa Sare Zao sio wote ni Chadema ...wengine wapo kundi la "al shabaab"
  Wakazi wawe makini na wahamiaji ambao wapo kwenye kundi hii wanaosambazwa vijijini mwao........kwa kuwa wa wanafahamiana,itakuwa rahisi kutambua wageni miongoni mwao Wenye nia mbaya ...

  Onyo kwa Dola...

  Hatua ya ccm Kukodi mercenaries ni dalili mbaya .....Kama iliyokuwa ikifanywa na KAnu kuwakodi Mungiki....ni dalili za mwisho za chama kinachokufa...ie kutumia mamluki,kutumia siasa za majitaka...,kutumia dola ..etc..,....Hatua hizi hazitakuwa na faida kwa ccm zaidi zitaaharakisha kifo......kuna tofauti kubwa ua uelewa kati ya Arumeru na IGunga.......ccm wasitegemee propaganda ,vijarida...,mauwaji ,tindikali ...zitawasaidia kupata ushindi.....sanasana hata wakiwavika wafanya vurugu Sare za Chadema ....tayari wananchi wameshagundua .....na utafiti wa kiiteligensia unaonyesha wananchi wanawafuatilia kwa karibu sana ....Hawa mamluki...,wakazi wa Arumeru wana ushirikiano wa kipekee nje ya chama ......msishangae mkaamka asubuhi mkakuta Hao mamluki 200 wote wamechinjwa na mapanga na wameru ......kwani hii Siri imeshaliki hata kwa wananchi wa kawaida....na Hao wamekuwa common enemy wa kuwachonganisha wameru ....nao hawataki kuuliwa Kama Wana IGunga .

  Watu wa usalama wa Taifa ingilieni haraka kusaidia Hawa mamluki warudi makwao haraka......WAmeru watawachinja........na IKULU ITABEBA LAWAMA......KWANI HII TAARIFA KWA SASA INAFUATILIWA HADI NA VUOMBO VYA NJE NCHI....HAO MAMLUKI KILA WAMESHAWEKEWA SURVEILLANCE YA KITAALAMU KABISA NA KILA MWENENDO WAO ...UNADAKWA NA KUREKODIWA .....NA MUDA SI MREFU WATAZINGIRWA..NA MAAFA YATAKUWA MAKUBWA SANA....NA HII INAWEZA KUSABABISHA WAKUU WA USALAMA ,POLISI NA HATA RAIS WETU APELEKWE THE HAGUE ..SIKU AKITOKA MADARAKANI...

  CHUKUENI TAHADHARI......! Anaepata ujumbe huu ..Amuambie na mwenzake....!!! Amani ya nchi yetu ,na umoja wetu Kama taifa ni muhimu kuliko tamaa ya ccm kushinda Arumeru!!!!! Wekeni tu uwanja sawa na haki .mshindi wa jimbo la Arumeru ...hatakuwa RAIS WA JAMHURI,!
   
 7. M

  MR.SILVER JF-Expert Member

  #7
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh Mikael habari hizi zinatisha
   
 8. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #8
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Chunguza harafu utuletee jibu hapa siyo kuuliza tu. Maana sisi wengine tupo huku lakini hizo fujo hatukuziona.
   
 9. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #9
  Mar 19, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  kwa hiyo unataka kutuaminisha kuwa Dr ndiye anaye command hizo unazoziita vurugu !!!
   
 10. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #10
  Mar 19, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,276
  Likes Received: 660
  Trophy Points: 280


  Nilikuwa eneo la tukio, u got the wrong picture. Mara nyingi Meru Garden ni ngome ya Chadema ndipo hata palipopigiwa kura za maoni.
  Tukiwa tumetoka eneo la kampeni jioni saa kumi na mbili kama na nusu hivi ikapigwa simu Leganga kuwa madiwani wa Chadema walokuja Meru kuongeza nguvu walisimamishwa magari yao na vijana wa Ccm na kuwalazimisha wabandue mabango yao ya "Chagua Nassari". Tukatoka Leganga ngomeni na kwenda maji ya chai eneo la kwa Alois kuwanusuru madiwani. Tulipofika vijana wa ccm walikimbia, wengine walikimbilia Hortanzia na wengine walikimbilia kituo cha polisi usa. Mishe zote hizo zilikwisha ndani ya dakika tano baada ya watu kutoka leganga kufika.
  Nilikuwepo.
   
 11. Said Bagaile

  Said Bagaile JF-Expert Member

  #11
  Mar 19, 2012
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 686
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hivi Wasira na Nchemba wamesahau kwamba Nasari ndiye mgombea wa Chadema Arumeru mashariki! Hawa jamaa kwa jinsi wanavyomwogopa Dr. Slaa, jana kwenye kampeni zao zote wanamzungumzia Dr. Slaa tu! Kweli hawa watu ni wa ajabu! Au ndo kama inavyosema, mti ulio na matunda........
   
 12. d

  dada jane JF-Expert Member

  #12
  Mar 19, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani watu wasilazimishe mambo. Wameru nawafahamu hawana subira nimesoma kule. Matumizi ya kisu kwao c kuchinja kuku tu hata binadamu kwao sio shida.
   
 13. Kiwewe

  Kiwewe Senior Member

  #13
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 159
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  So what?
   
 14. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #14
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Vipi anayejiita Makamu wa Rais alipokuwa mbeya naye alianzisha vurugu au?
   
 15. m

  mzizi dawa Senior Member

  #15
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 118
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Msijali aovijana wapo tuna faamu,apa meru sio igunga,tuta chinja mmoja mmoja mpaka tuwamelize.
   
 16. m

  mbwagison Member

  #16
  Mar 19, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mh Kikwete alipokuwa Mbeya na magari kupopolewa ni yeye alianzisha vurugu au ?
   
 17. RICH OIL SHEIKH

  RICH OIL SHEIKH JF-Expert Member

  #17
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  Padre anahubiri siasa za chuki; Unakumbuka sera za Mchungaj Mtikila..wanakaribiana mambo yao
   
 18. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #18
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
   
 19. l

  luckman JF-Expert Member

  #19
  Mar 19, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160

  hata aibu huna, ulijua unatoa debit kumbe credit kwa dr! MASKINI AKILI MALI KUMBE!kalale sawa?nitakuletea pipi ule, akili ikikomaa nitakuletea kitabu kinaitwa ''positive and radical thinking'' hope utajua mengi sawa katoto?
   
 20. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #20
  Mar 19, 2012
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Haya ndiyo matatizo ya kuwa partial katika kusimamia sheria. Kama vyombo vya dola vitaachwa kuwa huru kutenda kazi zao bila ya watendaji kuhofia kupoteza kazi zao pindi wanakibana chama tawala basi tutarajie matendo ya wananchi kujichukulia sheria mkononi kukithiri, siyo tu katika kampeni bali hata katika mambo mengine pia.
   
Loading...