Ni ubinafsi wa hali ya juu na hata kutoona aibu kwa mtu mwenye akili timamu na anaoujua ukweli kuja hapa kupoteza muda wake mbele ya watu wenye upeo wa hali ya juu kuisafisha CCM na kuuponda...
Imekua nijambo la kawaida kwa traffic wetu kuchukua rushwa au kukuandikia kulipa faini papo kwa papo,pia pesa hizo tunazolipa hazifiki hata kwenye vituo vyao acha serikarini. ushauri:nashauri...
Dr:Nurse tuwe tunafanya urine dipstic kwa huytt mgonjwa kila siku kuangalia urine protein. NURSE: Hizo ziliisha mwezi sasa,labda nikaazime wodi nyingine. DR: BP ya huyu mgonjwa ni 160/100...
Ndugu wapendwa
embu tuwekane sawa leo hii najua wengi watarudi kwa yaliomkuta kijana wetu lakini najiuliza tatizo ni naibu waziri kulala na changudoa mweevu ama
1.kutoa nje ya ndoa yake...
1. Who started World War I?
2. Who started World War II?
3. Who killed 20 millions aborigines in Australia??
4. Who sent the nuclear bombs of Hiroshima and Nagasaki??
5...
(Wana JF, makala hii ilitoka katika gazeti la Jamhuri J4 ya Machi 13, tafadhali mawazo yenu ni muhimu sana, kwani elimu yetu imekuwa bandia):
Tumeshuhudia matokeo mabya ya mitihani ya kidato cha...
£1.7m ‘con' by JobCentre staff
Accused ... Kehinde, left, and Ekajeh at court yesterday
March 2012
THE Sun is backing the Government's crackdown on benefits fraud with our...
Askari wa jwtz ofic ya mshauri wa mgambo ulanga wamewaua watu watano kwa kuwapiga risasi huko malinyi katika zoez la kuwaamisha wafugaji ktk eneo tengefu la ardhi oevu.
Kuna uhalifu na unyama wa kutisha unaofanywa na; viongozi, waalimu n.k dhidi ya wanafunzi wa kike katika shule Msingi na Sekondari hapa nchini.
Nimepata kusikia visa kadhaa vya wasichana...
Nimesikiliza Clouds fm jana na Leo,kuhusu mama wa miaka25,kumuingiza vidole mwanae wa kumzaa wa miaka7,pamoja na kumuingiza (penis za plastic)kwa kutumia oil kabisa jaman
mbele na nyuma na...
ALIYEKUWA Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), David Mattaka na wenzake wawili wanaoshitakiwa kwa kuagiza magari yaliyotumika kinyume na utaratibu, kutumia madaraka vibaya...
Bila shaka WanaJF wa hapa Arusha Mu wzm wa afya njema. Msishangae mki2kosa baadhi ya MEMBERS humu ndani ktk siku za usoni. Mi nitasema kama ninavyoona ya kwmb tangu jz j'5 ya tar. 7/09/2011 usiku...
Asalaam alaykum ndugu wanaJ.F.
Kuna hili shirika la kuthibitisha ubora na usalama wa bidhaa mbalimbali kwa ajili ya matumizi ya binadamu,hapa nchini,kwa lugha ya kiingereza ''TANZANIA...
Nilianza safari ya kuelekea Morogoro kwa safari niliyopata ghafla na nilifika hapa Hedaru nikaona nitie nanga early morning nidamke . Sasa Best niliyemkuta pale kama mwenyeji akanipeleka kwenye...
Nimesikia habari mtaani kuwa lile kundi lililomuweka huyu mama katika kiti cha uspika lina mpango wa kumpa sapoti ya urais 2015, endapo mtu wao wanaemtegemea hatafanikiwa kupata nafasi ya kugombea...
Inasikitisha sana tangu tigo ianze kuwa na matatizo ya netweork uaminfu kwenye ndoa umeanza kuwa mchache hata kwa wale waliokuwa na uaminfu ndani ya miaka 4..inashangaza kuona jamani mke anatuma...
Hatimaye jibu la kilio cha muda mrefu cha wafanyakazi wa taasisi ya chakula na lishe Tanzania limepatikana. Ilikuwa ijumaa siku ambayo wengi wao hawakutegemea kuwa hayawi hayawi YAMEKUWA...
Nimesikiliza matangazo mengi ya kibiashara ktk radio ,tv, wanatumia lafudhi ya hawa wachaga..... (Mara chache wakurya wasukuma na wazenj)hivi makabila mengine kwenye matangazo lafudhi zake hazina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.