Siku Tano za Magufuli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siku Tano za Magufuli

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KakaJambazi, Mar 19, 2012.

 1. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,004
  Likes Received: 3,189
  Trophy Points: 280
  Naomba kujua kama siku tano zimeisha na agizo limetimizwa au kauli zingine ni za kwenye TV tu.

  ATOA SIKU TANO


  Dk. Magufuli, alisema mkoa wa Dar es Salaam ndio unaoongoza kwa kuvunja sheria za barabarani na kusababisha msongamano wa magari usio wa lazima.

  Kutokana na tatizo hilo, Dk. Magufuli alimwagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), kuwafukuza wafanyabiashara waliovamia barabara ndani ya siku tano.
  “Kwa mujibu wa kifungu namba 26 cha sheria namba 13 ya mwaka 2007, TANROADS ndiyo yenye mamlaka ya kusimamia sekta ya barabara nchini.
  “Kwenye ‘Service roads’ zote kumejaa wafanyabiashara na gereji bubu, hawa ndio wanaoendelea kuharibu barabara zetu na kusababisha msongamano usio wa lazima.

  “Hata mkikuta hata bendera za CCM ndani ya barabara mzivunje, au bendera za CHADEMA, sheria ifuate mkondo wake kwa sababu haya ndiyo matatizo ya Watanzania.
   
 2. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  zoezi limeshaanza bagamoyo road
   
 3. K

  KIROJO Senior Member

  #3
  Mar 19, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  napita nitarudi
   
Loading...