Habari nilizopata toka polisi Magomeni ni kwamba ofisi ya mbunge mmojawapo wa Manispaa ya Kinondoni imevunjwa na kuibwa kompyuta na nyaraka mbalimbali. Kwa mujibu wa chanzo hicho wizi huo umetokea...
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23, pia anaweza kupumua bila usadizi wa mashine , lakini hali yake ingali mbaya kiasi cha kusalia katika chumba cha wagonjwa mahututi.
Mwamba alianguka uwanjani...
kunahali ya kusikitisha kama sio kushangaza kwa manes wa moi ninavyo faham mimi muda wakazi ni saa moja na nusu lkn kwenye dressing moi nikinyume wenyewa wanaaza kufanya kazi saa nne wakati mtu...
hapa tunduma mpaka umefungwa upande wa zambia kutokana na wamachinga wa tz kwenda kuuza bidhaa upande wao,na kuwapiga!hivyo wa machinga wa tz walioko upande wa tz,wakaanza nao kuwapa kipigo...
1.Jumla ya kura zilizopigwa-1298
2.waliokuwa na imani nayo ni watu 3 sawa na asilimia 0.02
3. Wasiokuwa na imani nayo ni 1290 sawa na asilimia 99.4
4.kura zilizoharibika ni 5 sawa na asilimia...
Kama tayari amejadiliwa hapa sawa lakini kila siku habari zinabadilika. Taifa limepata bahati ya kuwa na mchezaji kwenye ligi ya juu kabisa duniani katika mchezo wa kikapu.(NBA). Ndoto za kila...
Jeshi la Polisi linaendelea na utaratibu wake wa kufanya mauaji / Ukatili kwa raia wasio na hatia, tena mauaji kwa raia asiye na silaha yoyote.
Wana jamvi naomba tukumbushane mauaji...
Nipo hapa mahakama watumishi karibu woote wako katika hali ya Majonzi kwasababu Mkaguzi mkuu wa hesabu zao amekutwa ndani kwake amefariki kwa kile wanachodai kujinyonga, inasemekana alikuwa...
Wakuu nimeongea na jamaa yangu yuko Geita ameshindwa kukamilisha kazi kwani mkoa huo mpya hauna umeme sasa kwa masaa 24 mfululizo sasa na hawajapewa taarifa yeyote.
Licha ya kuwa kando kidogo ya...
Wakuu mimi nimechoshwa na hawa jamaa wa mfuko wa bima ya afya NHIF kwani ni miezi saba sasa tangu waanze kunikata pesa kila mwezi lakini kadi mpaka leo ni kitendawili. Nashindwa kutibiwa kwani...
Aiseee..............
eti serikali ya ya Saudia imeipa Tanzania zawadi ya Tende ili KUIMAIRISHA MASHIRIKIANO...na sisi tuwape nini???
source Channel 10 Taarifa ya Habari 20/04/2012
Kanisa lachomwa moto Ngara
Na Theonestina Juma, Ngara
KANISA la Pentekoste ambalo waumini wake walikimbia nyumba zao na kuishi porini baada ya kukataa kunyunyiziwa dawa ya kuua mbu...
Jana nilipita kidogo kijiwe cha politiki ambacho kama vilivyo vijiwe vingi kwa sasa gumzo ni uchaguzi wa Arumeru Mashariki. Katika mengi yaliyokuwa yakizungumzwa hili likanigusa nikaona sio vizuri...
Kuna msemo unaosema, 'Ajali haina kinga'. Hata hivyo hapa Tanzania inaelekea kuwa msemo huo mara nyingine si sahihi. Ajali zingine zinaletwa na watu wenyewe, hasa ajali za barabarani. Hebu...
wandugu habari ya kwenu kwa pamoja:
leo katika pita pita yangu mtandaoni, nimejaribu kupitia tovuti ya EAC (East African Community: Web Portal na
LatinHackTeam Ownz Your Box
..We Are...
Uchumi wa Tanzania Unakua kwa kasi ya mfano wa kuigwa duniani.
tazama forecast hii ya WB kati ya 2011-2015
Source The Sun.
Forecast of annual GDP growth 2011-15
1. China 9.5%
2. India 8.2%...
Hadi sasa serikali na kitengo
chakudhibiti mawasiliano
hawajatuweka bayana juu ya
hivi ving'amuzi.Hadi sasa kuna
makampuni zaidi ya moja
yanayotoa huduma ya ving'amuzi hadisasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.