Piga kura kuhusiana na TBC

DOMA

JF-Expert Member
Mar 17, 2011
944
365
Kama bado unaimani na Tbc reply neno YES kama huna imani na Tbc reply neno NO matokeo yatatolewa hapahapa jf
 
NO..............................................................................................................................
 
itabidi tumualike spiderman atutengenezee mpamgilio mzuri coz naona watu wanasema yes mara nyingi.
 
Kuna baadhi ya masuala na namna wanavyowasilisha taarifa zao sikubaliani nao lakini kukataa kwangu kusiwakilishe kuwa sikubaliani nao asilimia mia.
Mleta mada, tafadhari kuwa dhana moja ambayo unadhani tunaweza kuitumia kuongoza mchakato wako, wasiliana na Spiderman atasaidia, hii ni mada nzuri sana
 
utakua umetumwa na watu wafuatao kama si !1, CHAMA CHA DEMOCRASIA MACHAME-CHADEMA.
AU takua yule aliyetimuliwa anataka ku winn sympathy ya wananchi ili arudishwe maana amepotezwa mbaya
AU atakua yule Mangi tycoon wa Kichaga takwimu Znaonyesha sikuhizi IT...imekaa kichaga sana na kupoteza watazamaj
i
 
Back
Top Bottom