Msiba: Nachingwea t.t.c

tisa desemba

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
434
114
Nimepokea taarifa za msiba wa mwanafunzi wa chuo cha ualimu nachingwea aitwaye anna tuli mwaka wa kwanza (grade iiia) kilichotokea huko wilayani ruangwa-lindi alikokuwa akifanya mazoezi (teaching practices).

Anna amefariki leo alfajiri baada ya kuugua maralia kwa mda mfupi. Mipango ya mazishi inaratibiwa na chuo kikishirikiana na familia ya anna iliyoko mkoani manyara.

"bwana alitoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe, poleni wana nachingwea t. T. C na familia ya anna tuli"

source mwalimu mkuu kitandi s/m- ruangwa.
 
Mungu aiweke roho yake mahala pema peponi. Tumepoteza nguvu kazi na pengo kubwa kwa sekta ya Elimu
 
Poleni wafiwa. Ni majonzi kwrtu sote kwani hata mi ni mwanajumuiya wa hicho chuo... makazi yangu pale Nambambo (wanaotoka ay kuijua Nachingwea wanapafahamu) yanapakana na hiki chuo
 
rip mwl anna mungu alikupenda zaidi malaria haikubaliki ma uncle nae ulipotezwa na hi kitu
 
Back
Top Bottom