Hoteli za Bei nafuu Lusaka na Lubumbashi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hoteli za Bei nafuu Lusaka na Lubumbashi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kande kavu, Mar 19, 2012.

 1. kande kavu

  kande kavu JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2012
  Joined: Sep 17, 2011
  Messages: 235
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  JF :poa

  Wakuu mnisamehe kama nimekosea Jamvi.

  Ninaomba kujua Hoteli za sisi wachovu pamoja na bei zake kwenye miji hii miwili: Lubumbashi na Lusaka.


  Natanguliza asante.
   
 2. F

  FOEL Senior Member

  #2
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 141
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hehehe...mkuu watu wanaulizia hotel za Arumeru jukwaa hili na si za Zambia au Zaire.
   
 3. zaratustra

  zaratustra JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 849
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Ngoja tu nikujibu:
  Bei za hoteli sina hakika sana, maana ni muda mrefu umepita nilifikia hoteli inayoitwa NDEKE (sikumbuki bei zake)! Ila majuzi, almost a month ago, nililala kwenye Lodge moja iitwayo; Amaka! Sijui iko mtaa au sehemu gani, maana niliingia usiku na nikatoka mapema asubuhi! Ila kama, hutarajii kwenda ndani ya wiki hii, ninaweza kuulizia, then nitakujuza! Pale nililipa 250,000/= Zambian Kwacha (usishtuke) ni kama $50 (Tshs. 79,500/=!) na ni BB!
   
 4. kande kavu

  kande kavu JF-Expert Member

  #4
  Mar 19, 2012
  Joined: Sep 17, 2011
  Messages: 235
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ubarikiwe mkuu. Angalau nimepata picha.
   
Loading...