Uhakiki wa wafanyakazi waanza udsm | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uhakiki wa wafanyakazi waanza udsm

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by VUTA-NKUVUTE, Mar 19, 2012.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,868
  Likes Received: 6,566
  Trophy Points: 280
  Katika kile kinachoonekana ni kudhibiti wafanyakazi hewa,Serikali kupitia Wizara ya Utumshi wa umma imeanza uhakiki wa wafanyakazi wake.Kwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,uhakiki umeanza asubuhi hii kwa wafanyakazi wa Chuo kufanyiwa uhakiki.Katika jengo la Utawala,uhakiki unafanywa Masijala.

  Je,uhakiki utakuwa suluhisho la wafanyakazi hewa?
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Kwa kiasi fulani litakuwa suluhisho, lakini si la kudumu!.
  Shida ni kwamba ukifanywa uhakiki huo sasa itachukua miaka 20 kurudia zoezi hilo, ambapo mambo yatakuwa yashaharibika sana!
   
 3. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  nahisi ni sawa auditor kuji audit ye mwenyewe.
   
 4. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #4
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,868
  Likes Received: 6,566
  Trophy Points: 280
  Umeongea ukweli mtupu Mkuu.Serikali yapaswa kuwa makini kwenye suala hili.Halafu,uhakiki wa kutangazwa kabla nao una walakini.Si wangeshtukiza?
   
Loading...