Highness kazini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Highness kazini

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ntamaholo, Mar 19, 2012.

 1. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,142
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  nimepita mitaa fulani ya kilimahewa, nimekuta vijana wakiendelea na ujenzi wa mitaro katika moja ya barabara za mitaani, nimekuta vijana wakiendelea na ujenzi wa mtaro katika barabara iliyokuwa na hali mbaya. hapa nampongeza HIGHNESS KIWIA-MB CHADEMA, Jimbo la Ilemela.

  highnes.jpg highnes1.jpg highnes2.jpg highnes3.jpg
  kabla ya matengenezo baada ya matengenezo

  highnes4.jpg highnes5.jpg highnes6.jpg highnes7.jpg

  napongeza kwa kazi hii. Namkumbusha pia kuna kipande cha barabara ya KABUHORO, MIYAMA eneo maarufu la MATAWLA, kuna mpando ambao umeharibika vibaya kutokana na mvua zinazonyesha, hivyo magari aina zote hayapandi kule juu, hata sekondari ya kabuhoro hayafiki
   
 2. Dullo

  Dullo JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2012
  Joined: Oct 24, 2009
  Messages: 252
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Safi sana, nimeipenda hii
   
 3. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kama wananchi, haya ndiyo tunayotaka kusikia na kuona
   
 4. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #4
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hivi ndivyo inavyotakiwa kwa kiongozi sio kama wale wenzetu wa Chama kile cha Green
   
 5. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #5
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  good work..mawe kibao tunashinda kutengeneza hata yale ambayo yapo ndani ya uwezo wetu
   
 6. Emmani

  Emmani JF-Expert Member

  #6
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hongera mheshimiwa mbunge, matendo huongea zaidi kuliko maneno.
   
 7. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #7
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Kazi nzuri sana hii kwa mbunge
   
 8. Sabung'ori

  Sabung'ori JF-Expert Member

  #8
  Mar 19, 2012
  Joined: Jul 19, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 149
  Trophy Points: 160
  ...pamoja sana kamanda...wakati m.a.g.a.m.b.a yana-chapa usingizi bungeni,makamanda tuchapa kazi za maendeleo...
   
 9. Niconqx

  Niconqx Member

  #9
  Mar 19, 2012
  Joined: Jun 7, 2009
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kama utatufanyia hivi amini usiamini jimbo hili litakuwa lako miaka yote,mbunge hamasisha hata kujitolea bure tutakuunga mkono.fanya wengine waige,mungu akutie nguvu kusaidia wananchai wako.
   
Loading...