Tanzania Tuna majivuno sana sana Tuangalia wezetu Angola nini wamefanya ndani ya muda mfupi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania Tuna majivuno sana sana Tuangalia wezetu Angola nini wamefanya ndani ya muda mfupi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sonara, Mar 18, 2012.

 1. Sonara

  Sonara JF-Expert Member

  #1
  Mar 18, 2012
  Joined: Oct 2, 2008
  Messages: 730
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
 2. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #2
  Mar 18, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Tanzania fungu la kutokomea...
   
 3. PakiJinja

  PakiJinja JF-Expert Member

  #3
  Mar 18, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 834
  Likes Received: 329
  Trophy Points: 80
  Watanzania wapo busy na siasa, kila mmoja anajia na either kuchagua au kuchaguliwa, hakuna muda ambao wanamaliza hizo seasonal political activities.
  Zikikaribia tamati wanazirefusha ili kila mmoja amentain status yake.
   
 4. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #4
  Mar 18, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,380
  Likes Received: 3,339
  Trophy Points: 280
  Angola siyo nchi ya kulinganisha na Tanzania. Sisi tujilinganishe na Somalia, Yemen, Malawi, Swaziland na nchi za namna hiyo ila siyo Angola hata kidogo!
   
Loading...