Ccm; walianza na shetani na watamaliza na shetani' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm; walianza na shetani na watamaliza na shetani'

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by AdvocateFi, Mar 19, 2012.

 1. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  NI UKWELI ULIO WAZI KWAMBA MAKAMPENI MENEJA WA CCM HUKO ARUMERU AKIWEMO MWIGULU WANATUMIA RUSHWA, FITINA, MAJUNGU,UONGO NA KILA AINA YA UCHAFU KUKIPAKA MATOPE CHAMA CHA WATU CHADEMA, KAMPENI HIZI ZA MAJI MTARO ZINAZOTUMIWA NA CCM KUOMBEA KURA KWA WATU NDIO HIZI HIZI ZITAKAZO WAHUKUMU TAR 1 APR, KWA MSOMAJI WA VITABU VYA DINI ATAGUNDUA KWAMBA RUSHWA, UZUSHI,MAJUNGU,FITINA UONGO vipo chini ya shetani ambaye ndiye baba wa uongo, kwahiyo ccm walianza na shetani na watamaliza na shetani , but chadema mfanye mapambano ya haki kwa maana mlianza na MUNGU NA MTAMALIZA NA MUNGU'
  DONT GIVE UP CHADEMA, DONT GIVE UP CHADEMA GOD IS WITH US'
   
 2. r

  rwazi JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 230
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mtoa mada umenena.ukilinganisha vituko vya wanaccm kwenye majukwaa utagundua kuwa nivya kishetani tu.rushwa matusi,uzushi,uzinzi na vingine vingi utashangaa.
   
Loading...