Mikoa ya Lindi na Mtwara wajitende...???!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mikoa ya Lindi na Mtwara wajitende...???!!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MJINI CHAI, Mar 16, 2012.

 1. MJINI CHAI

  MJINI CHAI JF-Expert Member

  #1
  Mar 16, 2012
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 1,810
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Wakuu ndani na nje ya JF...heshima kwenu, nawaombeni tuchangie hoja kwa nini? umechukuliwa uamuzi wa kusafirisha gas kutoka Mtwara hadi Dar es salaam? nionavyo mimi gharama za kusafirisha hiyo Gas pamoja na matunzo angalizi ya line ni kubwa kuliko wangeamua kuplant Turbine za kufua Umeme Mtwara na kisha kusafirisha umeme? ili kuipa mikoa ya kusini nayo uwezo wa kupata umeme wa uhakika?.....Je? baada ya miaka kadhaa na mahitaji ya umeme kuongezeka hayatajitokeza matatizo kama ya line kutoka Songosongo kuja Dar es salaam? ya kuwa lazima waongenze line zingine za kusafirisha gaskwani zilizopo zina uwezo mdogo.......

  Barabara ya kusini bado kimekuwa kitendawili kilichokosa mteguaji kwani kipande cha KM 60 kutoka Daraja la Mkapa hadi Somanga hapajamaliziwa kuweka lami na hapapitiki kirahisi kulikoni? Mkapa, Kikwete, wamemaliza/watamaliza vipindi vyao lakini KM 60 haziishi tatizo ni nini?........

  Hoja, maoni, ushauri,hata ''kupita tu'' mnakaribishwa ua wajitenge hawa watu wa kusini?.....
   
 2. RICH OIL SHEIKH

  RICH OIL SHEIKH JF-Expert Member

  #2
  Mar 16, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  Bado wamelala wataamka bomba likishafika Dar
   
 3. S

  Skillionare JF-Expert Member

  #3
  Mar 16, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Watu wa huko hamjui mnataka nini!
   
 4. MJINI CHAI

  MJINI CHAI JF-Expert Member

  #4
  Mar 19, 2012
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 1,810
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Wakuu ni kweli kuwa Watu wa kusini mara nyingi ni wapole ukilinganisha na watu wa Kaskazini hii inaeleweka Dunia mzima....Sasa kama hali ni hivyo tuwasaidieje?........Serikali, Vyama vya Siasa Tanzania vinasema nini juu ya Barabara isiyoisha (Lindi - Kibiti)?, Gas kutolewa Mtwara/Songosongo hadi Dar? Nimeambiwa Umeme ambao ulikuwa stable mikoa hiyo ya Lindi na Mtwara sasa umedorora mwekezaji anahujumiwa na TANESCO.....kulikoni? Serikali ya Tanzania ina mpango gani na mikoa ya LINDI NA MTWARA.......??????
   
 5. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #5
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 160
  Gas inahitajika Dar kwa matumizi zaidi ya umeme
   
 6. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #6
  Mar 19, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  wenyeji wa mikoa ya huko kusini ulikotaja ni wavivu sana-na wengi wao hawana time na elimu-so hata wazo la kujitenga halipo hata kwenye ndoto zao-waache waendelee kuwa nyuma kwa ujinga wao
   
Loading...