Mhariri huyu wa michezo amulikwe uwezo wake. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mhariri huyu wa michezo amulikwe uwezo wake.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mambo moto, Mar 19, 2012.

 1. m

  mambo moto Member

  #1
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna mhariri mmoja wa michezo pale kampuni ya The Guardian Ltd anaitwa Fred Ogoti ambaye sasa inaelezwa kuwa anasimamia dawati la michezo la Guardian On Sunday, hajui michezo, hajui kiingereza, yaani ni aibu tupu. Kwa ujumla ni kwamba anafanya kazi 'kisanii' sana. Nimesema hayo kwa sababu ninamfahamu na nilishafanya naye kazi na kutambua uwezo wake. Ushauri wangu ni kwamba kama mzee Mengi hajui hilo, basi ni vema akatambua kuwa kwenye kampuni yake hiyo inayoitwa Jumba Kubwa la Magazeti wapo baadhi ya watu wanatumbua mshahara bure bila kazi akiwemo mhariri
  huyo. Nawasilisha.
   
 2. M

  Megawatt B JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2012
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  bado haitoshi, weka vithibitisho vinginevyo JUNGU
   
 3. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  majungu haya!
   
 4. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #4
  Mar 19, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280

  Yani wewe umeikosa hiyo kazi ukaamua kuja kumwaga hasira zako hapa? Nenda kajipange upya uje tena ukiwa smart!
   
 5. Simba Mkali

  Simba Mkali JF-Expert Member

  #5
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 593
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Haya sasa ni majungu, namjua Ogot vizuri sana, niliwahi kukaa naye Ilala, Dar ninavyomfahamu labda apewe kashfa kwamba siyo raia wa Tanzania ili aithibitishe, vinginevyo ni uzushi mtupu, eti hajui Kiingereza?
   
 6. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #6
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  kakutuma nani?!!
   
Loading...