Du! Kazi kweli kweli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Du! Kazi kweli kweli

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by SOKETI, Mar 18, 2012.

 1. SOKETI

  SOKETI Senior Member

  #1
  Mar 18, 2012
  Joined: Jul 24, 2010
  Messages: 194
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kwa mwendo huu, ni kweli WALI WA KUSHIBA UNAONEKANA KWENYE SAHANI..
   

  Attached Files:

 2. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #2
  Mar 18, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Heri wewe unayemuita DR.SLAA, wapo wanaomuita Rais...sijui alichaguliwa kuwa Rais wa nchi gani.
   
 3. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #3
  Mar 18, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Kwani hujui kwamba ndiye Rais wa Tanzania na m.kwe.re ni rais wa NEC na UWT?
   
 4. SOKETI

  SOKETI Senior Member

  #4
  Mar 18, 2012
  Joined: Jul 24, 2010
  Messages: 194
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ama kweli, dalili ya mvua ni mawingu..lakini hii ni rasharasha!
   
 5. PATOXIC

  PATOXIC Member

  #5
  Mar 18, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wakuu jana nilikuwa Tengeru mnadani, jioni CDM kilifanya mkutano wa kampeni pale mgombea hakuwepo waliokuwepo ni Waitara, msigwa, Kiwelu. Sikuelewa umati unawezaje kujaa namna hiyo mahali ambapo mgombea hayupo. Habari zilizopatikana zinasema wabunge wa CDM wanaofanya kampeni bila mgombea wako makundi matatu. Hongereni Peoples power.
   
Loading...