Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nilikuwa nikiojiana na vijana wenzangu kutoka CCM CHADEMA na CUF mambo yalikuwa hivi, Kijana Chadema: Mbona umekaa na maskitiko huku umeshika tama kwa wasiwasi huku ukiwa mbele bendela ya chama...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
WanaJukwaa, Poleni kwa majukumu yenu ya kila siku, Muda mfupi uliopita nilikuwa naangalia kipindi maalum kilichokuwa kinarushwa na runinga ya MLIMANI kwa ushirikianao na Jumuiya ya Makanisa CCT...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wana Jf. Kuanazia siku ya alhamisi Kigoma si mahali salama hata kidogo. Kuna kundi kubwa la majambazi yanavamia maduka na sehemu za sitarehe na kuiba kila kitu. Tena wanaiba kuanzia saa 3...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Sitta: Polisi wana ushahidi Mwakyembe kupewa sumu Send to a friend Tuesday, 31 January 2012 22:05 0diggsdigg Raymond Kaminyoge WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samwel Sitta...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Najua kuna magazeti mengi mazuri na watu wanayapenda sana na mimi pia. Lakini hawa jamaa wa gazeti la mwananchi mi nadhani wamejipanga vizuri sana. Habari zao ni za uhakika na ukweli, Hazina...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Huyu ni mfamasia wa jiji la Mwanza Bw. Edward, kwa wiki sasa yupo chini ya uchunguzi kuhusu ubadhilifu wa mali ya umma, uchunguzi ambao pia PCCB wanashiriki. Janja anayoifanya mtuhumiwa kuna...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Mimi ninampenda sana Mwl Nyerere hivyo, kauli ya Vincent imenisumbua sana; wakati mwingine ninawaza namna hii. Kwa kuwa mwanafamilia wa Mwl Nyerere mh Vincent Nyerere ametoa tuhuma nzito sana kuwa...
7 Reactions
20 Replies
8K Views
Jamani Haki itapatikani lini kwenye hii nchi? Adam Malima kafanya uchafu, serikali inamlinda. Mnyonge aisye na hatia anapelekwa ndani badala yake. Tukimbilie wapi kutafuta haki? Mzee babu seya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu JF Wafuasi wa Chadema jana walifunga Barabara ya Moshi-Arusha eneo la Maji ya Chai na kulishambulia gari walilokuwa limebeba waandishi wa habari. Waliokuwa katika msafara wa CCM...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Mwanzo alionekana mwanamke mpiganaji shupavu asiyeogopa. Kumbe ni alikuwa anawakamia dawa maadui zake. Alipoona Mwakembe kapewa sumu na 6 kunyimwa ubunge akafyata na kuchukua mwelekeo wa...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari zilizopo mtaani ni kwamba kampuni ya Clouds Ent imewafungulia kesi mahakamani members wa Vinega,na kesi itasikilizwa tarehe 21 mwezi huu.. Cha kushangaza katika mashtaka hayo...
1 Reactions
48 Replies
6K Views
Wna JF, naomba tujadili mtindo/tabia ya watajwa juu kushiriki ktk matamasha au events za makampuni mbali mbali - iwe michezo au get together- na dhima ya kuzuia rushwa! Wakishiriki ktk events au...
0 Reactions
0 Replies
855 Views
ITV, NEWS ZA USIKU. Jambazi sugu likitokea kigoma limekamatwa na risasi 2040 likiwa limefunga kwenye kiroba cha kawaida. Msako huo umekamata majambazi 300
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Hatuwezi kuendelea na mzaa wa kitoto kila siku, no! imetosha hatuwezi kuyaacha yakapita hivihivi. HAKIKA haya ni madai mazito.Naongelea tuhuma zinazomhusisha Benjamin William Mkapa na KIFO cha...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wanajamvi,awali ya yote niwatake radhi kwa topic hii,ingawa naamini kuuliza si ujinga.Sijakuwepo mjini kwa siku kadhaa,na niliporejea-leo asubuhi nikasikia mgonjwa wetu Dr Mwakyembe anatarajiwa...
0 Reactions
0 Replies
882 Views
Katika hali isiyo ya kawaida,serikali ya mkoa wa Pwani imetoa ruhusa kwa jopo la waganga wa kienyeji kupita nyumba hadi nyumba kusaka uchawi kwa nia ya kuutoa.Jopo hilo la waganga ambalo sasa lipo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Skin Disorder, anasema anaumwa Mwakyembe hivi mbona anatufunga akili.\ Anasema nilikuwa naumwa ugonjwa wa ngozi Skin Disorder, kweli hili
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mi ni mdau mtarajiwa wa hii tasnia. Kuna wadau wawili wapo kwenye kipindi. Mmoja ni baba haji na wa pili anaitwa bishop. Nahitaji sana kuonana na huyu bishop. Kwa yeyote aliyeangalia hiki kipindi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naombeni msaada kwa wale wataalam wa camera nahitaji video camera ya kazi ndiyo naanza nina laki nne na nusu je ntapata kwa hiyo bei na niya aina gani nzuri Asanteni kwa ushauri wenu wana jf
0 Reactions
1 Replies
978 Views
Back
Top Bottom