Serikali yautambua rasmi uchawi!

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Katika hali isiyo ya kawaida,serikali ya mkoa wa Pwani imetoa ruhusa kwa jopo la waganga wa kienyeji kupita nyumba hadi nyumba kusaka uchawi kwa nia ya kuutoa.Jopo hilo la waganga ambalo sasa lipo Mtaa wa Visiga Kati,Kata ya Visiga,Tarafa ya Mlandizi wilayani Kibaha linamiliki barua inayobariki shughuli zao.Juhudi zangu za kuipata nakala ya barua hiyo ambayo hatahivyo nilifanikiwa kuisoma,hazikufanikiwa.

Kwa mujibu wa Katiba na sheria za nchi hii,Serikali haiutambui uchawi.Hapa pametokea nini?
 
Wanatesa sana raia waache wadeal nao tuu!
Uko ndo visiga kwa mzee Panga la shaba?
 
govt under ccm mbunge wa korogwe mchawi,rais anapotoka bagamoyo ajira kuu ya wananchi wake ni uchawi,babu samunge etc
 
Serikali ilikubali rasmi uchawi pale kiongozi mkuu wa nchi alipokubali kupewa ulinzi na mchawi mkuu wa Africa Mashariki na Kati Mare..........btw hivi ule ulinzi mkulu bado anao?
 
Back
Top Bottom