Siku chache baada ya muhafaka..Clouds FM wawapeleka Vinega mahakamani... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siku chache baada ya muhafaka..Clouds FM wawapeleka Vinega mahakamani...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ma2mbo, Mar 15, 2012.

 1. ma2mbo

  ma2mbo JF-Expert Member

  #1
  Mar 15, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  Habari zilizopo mtaani ni kwamba kampuni ya Clouds Ent imewafungulia kesi mahakamani members wa Vinega,na kesi itasikilizwa tarehe 21 mwezi huu..
  Cha kushangaza katika mashtaka hayo hawajamjumlisha Sugu akiwa kama kiongozi wa Vinega..
  Kitaa kinajiuliza je Ule muhafaka wa kuzika na kusahau tofauti zao za nyuma umekufa au vipi?
  Nini kitafuata baada ya hapo,ngoja tusubiri.
   
 2. K

  Kiboko Yenu JF-Expert Member

  #2
  Mar 15, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 312
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  acha washitakiwe ili wapate adabu
   
 3. Mkare_wenu

  Mkare_wenu JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  Lol híi kali.napita!
   
 4. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #4
  Mar 15, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Yaani wamewanyonya haki zao miaka mingi na kuwafanya maskini hadi leo halafu wanataka kuwafunga??? Kweli maskini hana haki, hapa SUGU inabidi alianzishe otherwise itaonekana amewauza wenzie. Usaliti ni kitu kibaya sana katika mapambano ya ukombozi
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Kwani sugu anasemaje?
   
 6. Mchochezi

  Mchochezi JF-Expert Member

  #6
  Mar 15, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 6,952
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280
  kama ni kweli..Sugu atakuwa ni Msaliti??
   
 7. ma2mbo

  ma2mbo JF-Expert Member

  #7
  Mar 15, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  Sugu ajaongea chochote kwenye public ,ila kwa habari za ndani ni kwamba safari hii hali inaweza kuwa mbaya sana ishu ikianza upya kwani alikubali kubeba lawama nyingi akitegemea kufanikishwa kwa madai yao..
   
 8. ma2mbo

  ma2mbo JF-Expert Member

  #8
  Mar 15, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  ni kweli kabisa mkuu,wametoa hati ya kuitwa mahakamani kwa washtakiwa hadi kwenye magazeti ya jana..eg Mwananchi

  sidhani kama Sugu ni msaliti ila nachoamini kwa sasa kuna mchezo walimchezea wakimuaminisha wana nia njema,ili wakamilishe mission ya kuidhoofisha nguvu ya Vinega,na yeye akajaa bila kuelewa mchezo..ila kwa sasa naamini ata damu itamwagika kwa navyoufahamu mchongo unavyoendelea chini chini.
   
 9. ma2mbo

  ma2mbo JF-Expert Member

  #9
  Mar 15, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  mahakama haiwezi kuwashikisha adabu magenge,ila Wafu wanawachokoza wenyewe na watajuta.
   
 10. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #10
  Mar 15, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,482
  Likes Received: 5,557
  Trophy Points: 280
  Hata Ruge anajua vizuri misimamo ya Sugu! Hawezi kukurupuka kijinga hivi! Sidhani kama hii habari ni ya kweli! Sugu si msomi lakini anajua kusimamia anachoamini kuliko wasomi wengi! Nadhani Hiphop halisi imemjenga sana toka zama zile kwenye shows za Tunduma! Issu e ya Sugu imeharibu sana image ya Clouds kiasi kwamba si rahisi Kusaga akataka malumbano ya dizaini ile tena!!
   
 11. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #11
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  miafrika ndivyo tulivyo by NN
   
 12. ma2mbo

  ma2mbo JF-Expert Member

  #12
  Mar 15, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  tafuta mwananchi la kati ya jana au juzi wametoa hati ya kuitwa mahakamani kujibu mashtaka,tena mtoa mashtaka ni Kusaga mwenyewe..kwaio ni habari ya kweli 100%.
   
 13. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #13
  Mar 15, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Wanashtakiwa kwa kiss gani? Walikuwa na mkataba wowote na clouds?

  Habari haijakamilika hii!
  Sugu angekuwa ameshawaka saa hizi bana!
   
 14. ma2mbo

  ma2mbo JF-Expert Member

  #14
  Mar 15, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  ni zile ishu za Antivirus mixtape..
   
 15. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #15
  Mar 15, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 22,007
  Trophy Points: 280
  Vinega ni vingi, kikiwa kimoja kinaitwa kinega
   
 16. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #16
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Sugu naye si alikuepo mbona nae ajahusishwa?
   
 17. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #17
  Mar 15, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Sugu ni msomi??
  nenda kwa PROF IBRAHIM LIPUMBA akufundishe nini maana ya neno msomi then ndio uje kuongea huu UTUMBO
   
 18. ma2mbo

  ma2mbo JF-Expert Member

  #18
  Mar 15, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  Sugu mwenyewe nae haelewielewi kinaendelea nini ni kama kaingizwa mkenge vile..maana walikubaliana kuzika yote ya nyuma leo jamaa wanawapeleka mahakamani kwa kuwagawa.
   
 19. ma2mbo

  ma2mbo JF-Expert Member

  #19
  Mar 15, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  rudia kusoma vizuri alichoandika mwenzio,kisha angalia ulichomjibu,then ndio umtusi.
   
 20. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #20
  Mar 15, 2012
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,642
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  hizi ni habari za mtaani.....kwa makubaliano na muafaka uliofikiwa hawezi kurudi nyuma na kuanza kupandikiza chuki upya.Labda vinega wao ndo wameenda mahakani kuishtaki CloudsFM na sio vinginevyo.
   
Loading...