Sababu 5 za kwa nini kifo cha mwl Nyerere kinaweza kuwa na mkono wa mtu

Mikael Aweda

JF-Expert Member
Dec 17, 2010
2,973
3,901
Mimi ninampenda sana Mwl Nyerere hivyo, kauli ya Vincent imenisumbua sana; wakati mwingine ninawaza namna hii.
Kwa kuwa mwanafamilia wa Mwl Nyerere mh Vincent Nyerere ametoa tuhuma nzito sana kuwa BM ana husika na kifo cha baba yao Mwl Nyerere baada ya BM kudai kuwa Vincent Nyerere si mwanafamilia wa Mwl Nyerere, na

kwa kuwa tuhuma hiyo ya BM kushinikiza Mwl akatibiwe Uingereza kinyume na matakwa ya wanafamilia kwa kuwa mwl hakuwa anaumwa sana na kama ni kutibiwa basi aende nchi za kijamaa ila BM hakuafiki, na

Kwa kuwa pamoja na uzito wa tuhuma hizi nzito mtoto wa Kwanza wa Mwl Nyerere mwenye uelewa wa kutosha - Madaraka Nyerere, anakuja hadharani na kumtetea Vincent Nyerere kuwa ni mwanafamilia wao dhidi ya kauli ya BM huku akigoma kukanusha tuhuma nzito za Vincent Nyerere dhidi ya BMW kama msemaji wa familia, na

Kwa kuwa Kifo hicho cha Mwl Nyerere kilikuja kipindi ambacho BM alikuwa ktk harakati za ubinafsishaji ambao ulikuwa unaupingwa sana na Mwl Nyerere ukiwepo uuzaji wa Benki ya NBC nk, na

Kwa kuwa baada ya kifo kile ndo sera hiyo iliyokuwa inapingwa sana na mwl Nyerere ilitekelezwa kwa kasi ikiwepo uanzishaji wa Kampuni ya ANB.... LTD ya BM na mke wake, na

Kwa kuwa kuna tetesi kuwa kupanda chati ya Kisisasa ghafla kwa mmoja wa madaktari hapa nchini ..... kuwa Mbunge hadi kuwa waziri mwaka 2006 inaweza kuwa mmoja ya mkakati wa kumziba mdomo kutokana na siri nzito anazojua ( Hii ni tetesi), na

Kwa kuwa ilitarajiwa kuwa Vincent Nyerere angeonywa sana na wanafamilia na pengine hata kushtakiwa na BM na kutolewa kwa kauli nyingi kali dhidi yake ktk vyombo vya habari, jambo ambalo halijatokea kabisa (kinyume chake BM anaomba upatanisho), na

Kwa kuwa si kawaida kwa BM Mkapa kushuka chini kiasi cha kutaka mama Maria Nyerere ampatanishe na Vincent Nyerere ( pengine ili mengi zaidi yasifumuliwe na wanafamilia hao?), na

kwa kuwa JK Nyerere aliwahi kutangaza kuwa afya yake ni njema na kuahidi kuwa angeweza kuona serikali ya awamu ya nne, kitu ambacho hakikutokea na Mwl Kufariki ghafla, na

Kwa kuwa ilitarajiwa ccm wakanushe habari hiyo kwa nguvu sana wakishirikiana na wanafamilia wa Mwl Nyerere ktk vyombo vyote vya habari hasa tv na kurudia rudia habari hiyo, badala yake wanapenyeza propaganda ktk magazeti yao zisizo na reliable source.
Hivyo basi;
I give this news benefit of doubt.

Kwa kuwa ............................................. ( Unaweza ukaongeza mwenyewe if you wish, Ziko zaidi ya 5, )

Hivyo ndivyo ninavyowaza wakati mwingine, sijui kwanini!
 
Mkuu mbona hilo liko wazi tu hawa maafisadi kwa baraka za BWM walimtoa roha Mwalimu ili wajimegee kiulaini keki yetu ya Taifa.Haya mambo yalikuwa yanafahamika siku zote ila hakukuwa na mwenye ujasiri wa kuyasema hadharani, lakini kwa kuwa Mungu hamfichi mnafiki,amempa ujasiri VN kuyasema haya na siyo siri damu ya Mwalimu itamtesa sana huyu mhamiaji haramu toka Msumbiji.
 
Kama ni kweli freedomfighter, mmoja kati ya vitu walivyofanya ambavyo Nyerere angekuwepo wasingeweza kuyafanya kabisa ni kugawana Nyumba za Serikali ziliopo kwenye Prime areas.
 
Kama ni kweli freedomfighter, mmoja kati ya vitu walivyofanya ambavyo Nyerere angekuwepo wasingeweza kuyafanya kabisa ni kugawana Nyumba za Serikali ziliopo kwenye Prime areas.

Mbona intelijinsia yangu inaonyesha kuwa aliyefanikisha zoezi la kumuua Nyerere ni Dr. Slaa kwa maelekezo ya Mtei??

unataka sababu??
 
Kama ni kweli freedomfighter, mmoja kati ya vitu walivyofanya ambavyo Nyerere angekuwepo wasingeweza kuyafanya kabisa ni kugawana Nyumba za Serikali ziliopo kwenye Prime areas.
Hapo tu ndipo nilipoishiwa nguvu na serikali ya BWM. Sijui huyu jamaa alikuwa anawaza nini kuuza nyumba za serikali tena kwa kuwauzia maafisa wa serikali bila kujua kuwa siku moja what goes around comes around.
 
Mkuu Michael Aweda, nimeipenda sana hii ya kwa kuwa....then it means ....

Japo this is a conspiracy theory tuu hivyo basi na Imran Kombe aliuawa!
Kolimba pia aliuawa!.
Dr. Omar Ali Juma pia aliuawa!
Karume pia aliuawa!.
Idrisa Abdul Wakil pia aliuawa!
Gibbons Mwaikambo aliuawa!.
Mzee Kawawa nae aliuawa!
Salome Mbatia pia aliuawa!.
Juma Jamaldin Akukweti nae aliuawa!.
Amina Chifupa pia aliuawa!.
etc etc
 
Katika hii issue yoote na wahusika woote walo husika in one way or another.... I give my Best to BM... Mkapa ni moja wa Intelligent leader in the Gang.... CCM ni moja ya Chama ambacho kiko so tangled up, so Controversial na So sure of itself (I can not blame them); Hii issue iliyotekea inapelekea kwa wananchi wote (hasa walo hazina ya juu katika harakati za Siasa i.e wanaharakati na wachambuzi) kiasi kwamba inahamisha kabisa maeneo ambayo ni muhimu na msingi kuzingatia......

Maswali ya kujiuliza....

  1. Ni kwa nini Vincent kaongea hayo na Madaraka indirectly kam support? Hivi kweli ni kwa nia ya kuonesha kua kweli Kipara anausika? I DOUBT!!
  2. Mkapa ana damage kubwa sana in terms of Reputation ki Siasa.... Je hili suala kuna la zaidi limefanya zaidi tu ya kufanya iibue yale ambayo tayari yalikua yanajulikana regardless kua ni tetese? I wonder....
  3. Mkapa yeye ni low profile... ndio zake; zaidi hufanya vitu kwa vitendo... Na ni mjanja aweza manipulate kitu na kufanya in a way waweza ona kama that is what you want too before ni too late!
  4. Katika hizi siku za karibuni ama before hio scandal kulikua na habari gani kubwa zaidi? Kulikua na habari gani ambayo ilikua likely kutoka? (na would have caused more damage....) Then juu ya hapo tujiulize OK, Baada ya hio scandal kuna faida yoyote ama change yoyote ya Msingi ambayo imetokea.... Hasa for the better?
 
Upuuzi huu utawachukulia muda na sie twachukua ushindi siku ya uchaguzi
Endeleeni kung'ang'ania hii mada
OTIS
 
Kwa nini apatanishwe na mama maria Nyerere wakati alisema Vincent si mwanafamila iweje awaite wale te wampatanishe??
 
duuu hii kali sasa tuambia sababu hizo mkuu!?

kwa sababu tunaamini kwa sababu na siyo kwa uthibitisho

Nina kila sababu ya kuona Mtei alimtuma slaa kumuua Nyerere

1. kwa sababu Mtei alikuwa na bifu na Nyerere
2. Kwa sababu Mtei alikuwa ameishaongea na Slaa kuwa ataacha u-ccm na kuhamia chadema
3, kwa sababu kanisa katoliki lilikubali slaa asimame na kwa sababu Nyerere hakuwa mdini basi njia ilikuwa lazima auawe

Naona Mr. Henge umenielewa sana

kuishi kwa visababu sababu kama lizoweka huyu jamaa hapo juu ni ulimbukeni...kwani kila mtu atakuja na sababu zake humu

na hii inaonyesha huyu jamaa haijui JF kuwa tunaweka uthibitisho, na kama hoja ziyo ya aina hii

au nitasema yeye ndiye alimuua Nyerere na sasa anapoteza ushahidi..we cant go that wa

Mimi ndiye mtu wa kwanza kuwekab taarifa kuwa Mkapa ndiye alifanya mambo!! na katika hilo sikuweka sababu niliweka taarifa!!
 
Mbona intelijinsia yangu inaonyesha kuwa aliyefanikisha zoezi la kumuua Nyerere ni Dr. Slaa kwa maelekezo ya Mtei??

unataka sababu??

Unajua unahitajika kutoa sababu ili ueleweke! Vinginevyo unataka kututoa nje ya mada!
 
kwa sababu tunaamini kwa sababu na siyo kwa uthibitisho

Nina kila sababu ya kuona Mtei alimtuma slaa kumuua Nyerere

1. kwa sababu Mtei alikuwa na bifu na Nyerere
2. Kwa sababu Mtei alikuwa ameishaongea na Slaa kuwa ataacha u-ccm na kuhamia chadema
3, kwa sababu kanisa katoliki lilikubali slaa asimame na kwa sababu Nyerere hakuwa mdini basi njia ilikuwa lazima auawe

Naona Mr. Henge umenielewa sana

kuishi kwa visababu sababu kama lizoweka huyu jamaa hapo juu ni ulimbukeni...kwani kila mtu atakuja na sababu zake humu

na hii inaonyesha huyu jamaa haijui JF kuwa tunaweka uthibitisho, na kama hoja ziyo ya aina hii

au nitasema yeye ndiye alimuua Nyerere na sasa anapoteza ushahidi..we cant go that wa

Mimi ndiye mtu wa kwanza kuwekab taarifa kuwa Mkapa ndiye alifanya mambo!! na katika hilo sikuweka sababu niliweka taarifa!!

Hongera
 
Na wala si tetesi kwamba Mkapa na mkewe walifungua chupa ya champagne Ikulu kusherehekea kifo cha Nyerere. Hizo si tetesi.
 
jamani cancer ilimtafuna na haina tiba au na hilo jimbo la AM ni Bm,mtei na slaa? Pia nayo ni Ca (soma prognosis yake)
 
Ngoja nikupe full data Aweda, huyu jamaa bm alihongwa na hawa jamaa waliofukuzwa nchini Ghana yaani Barick pesa mingi sana na walimjengea nyumba ya kufa mtu Dubai na Marekani sasa huoni ni rais gani hana hata aibu kudiriki kufukia wapiga kura wake ndani ya MGODI KULE BULIANKULU halafu akaamua kukanusha hakuna mtu aliyefukiwa???????????? huyu mzee ni PUTA! kauza Hotel za serikali kwa wahindi ambazo ni Lake Manyara Wildlife, Ngorongoro Wildlife, Seronere Wildlife na Lobo Wildlife kwa mtu ambaye hana taaluma ya kuendesha hotel halafu si raia wa Jamhuri ya Tanzania, wewe uliona wapi serikali inauza aseti isiyohamishika kwa raia wa kigeni tena ndani ya Hifadhi za taifa? matokeo yake wahindi wanakuwa na kiburi wanatunyanyasa, watu wanalishwa vyakula kama vya nguruwe, kulala vyumba haNia hadhi ya kulala binadamu,, yaani labda isifike 2015 mambo ni mengi sana Mkapa amefanya ya kuumiza hii nchi.......... KoNYO ZAKEEEEE!
 
kwa sababu tunaamini kwa sababu na siyo kwa uthibitisho

Nina kila sababu ya kuona Mtei alimtuma slaa kumuua Nyerere

1. kwa sababu Mtei alikuwa na bifu na Nyerere
2. Kwa sababu Mtei alikuwa ameishaongea na Slaa kuwa ataacha u-ccm na kuhamia chadema
3, kwa sababu kanisa katoliki lilikubali slaa asimame na kwa sababu Nyerere hakuwa mdini basi njia ilikuwa lazima auawe

Naona Mr. Henge umenielewa sana

kuishi kwa visababu sababu kama lizoweka huyu jamaa hapo juu ni ulimbukeni...kwani kila mtu atakuja na sababu zake humu

na hii inaonyesha huyu jamaa haijui JF kuwa tunaweka uthibitisho, na kama hoja ziyo ya aina hii

au nitasema yeye ndiye alimuua Nyerere na sasa anapoteza ushahidi..we cant go that wa

Mimi ndiye mtu wa kwanza kuwekab taarifa kuwa Mkapa ndiye alifanya mambo!! na katika hilo sikuweka sababu niliweka taarifa!!

We ni m.s.e.ng.e! Una laana ya mama yako. Kafie mbali huko,
 
Waberoya wiki hii naona umepoteza umakini wako kwa kasi ya ajabu hasa baada ya wewe nawe kuanza kuuguwa huu ugonjwa wa Dr Slaaphobian!
kwahiyo sasa sio tena Nyerere aliwekewa sumu kwenye toilet paper kule South Africa kwa ushiriki wa wazee wa Makumbusho? am watching you very close.......
 
Back
Top Bottom