Mwakyembe amerejea kimyakimya?

Shansila

Senior Member
Jan 28, 2012
189
36
Wanajamvi,awali ya yote niwatake radhi kwa topic hii,ingawa naamini kuuliza si ujinga.Sijakuwepo mjini kwa siku kadhaa,na niliporejea-leo asubuhi nikasikia mgonjwa wetu Dr Mwakyembe anatarajiwa kuanza rasmi majukumu yake ya kiofisi leo!Naomba anayefahamu mheshimiwa amerejea lini na vp maendeleo yake anijuze.Huyu ni mkombozi wa taifa letu ambaye anataka kuwahishwa ahera!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom