Mh. Anne Kilango we miss u

MVUMBUZI

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
5,183
2,304
Mwanzo alionekana mwanamke mpiganaji shupavu asiyeogopa. Kumbe ni alikuwa anawakamia dawa maadui zake. Alipoona Mwakembe kapewa sumu na 6 kunyimwa ubunge akafyata na kuchukua mwelekeo wa kuwafurahisha waliomfikisha alipo.

Tunajiuliza nn kimekupata kututelekeza au umeshachukua chako kwa mafisadi ukasema kufilieni mbali? Mama we really miss u. Je unatarajia kurudi tena kutupigania au ndo mbele kwa mbele? Umeonekana kampeni za uchaguzi wa diwani Dodoma je Arumeru utakwenda kuhamasisha.

U know we miss U na tunataka kujua kama bado uko na ss au mwenzetu umekwenda mafichoni kukwepa sumu . Ila tokeza hata Arumeru Mashariki kwenye kampeni mama CDM tumekumis mno mno!!
 
Huyu mama alidhihirisha kuwa yeye ni wakili wa mafisadi that day aliposimama na kuhamasisha rasimu ya katiba mpya kupitishwa regardless na mapungufu yote anayajua ila amependa wananchi wazidi kuwa na katiba mbovu milele ili wazidi kuumia.
Huyu mama kwa sasa ni wakili wa ufisadi.
Otherwise, kuitetea CCM inahitaji uwe na akili ya maiti.
 
alikuwa na kelele za mbwa kulilia mfupa. katupiwa fupa mdomoni na kwisha kulila tuu basi kimyaaaaaa! kuna wabunge wengi walikuwa wana lilia mifupa bungeni. ona wakina Geofrey Zambi wapo wapi hivi sasa? hivi kweli hawa watu wapo kwa ajili ya umma au ndio mbele kwa mbele tuu. kukubali katiba mpya ipite kimya kimya ni usaliti wa umma bila ubishi.
 
hakuna point anayoongea huyu mama akiwa bungenin wala nje ya bunge sema aqna sauti kubwa tu
 
CDM kum-miss Kilango? Kwa lipi? hao wanaojiita wapambanaji wa ufisadi ndani ya CCM ni watu wanaotumiwa kuvunja hoja za CDM. Kila hoja nzito inapoibuliwa na CDM wao hudandia na kkuifanya yao halafu huigeuza na kuikosesa nguvu. Kilango, Ole-Sendeka, Sitta, na wengine wote ni Magamba tu.
 
Yule anatetea Tanganyika yetu ndo mpiganaji wa ukweli. wapi wale G ngapi sijui!!
 
Mi nimeshamfuta siku nyingi kwenye list yangu. Hafai tena kurudi bungeni.
 
Honorable MVUMBUZI, kindly note that there is always a big difference between OPINION MAKERS AND NOISE MAKERS!
While the former have a POINT TO MAKE, the latter have an INTEREST TO DEFEND!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom