Enough is Enough, IMETOSHA SASA Mkapa njoo utujibu WATANZANIA

Adolf Mark

Member
Nov 4, 2011
50
26
Hatuwezi kuendelea na mzaa wa kitoto kila siku, no! imetosha hatuwezi kuyaacha yakapita hivihivi. HAKIKA haya ni madai mazito.Naongelea tuhuma zinazomhusisha Benjamin William Mkapa na KIFO cha "MTETEZI WA WANYONGE" Mwl J.K. Nyerere, madai dhidi ya Mkapa si ya kupuuzwa ama la ni kutokana na uzito wake, anayeyatoa au mtiririko wa kimantiki na kimatukio ulio sambamba na madai hayo; Chukulia uzito wa hoja hii, hivi Kapteni Komba alitunga lini hizo nyimbo zake?

Au alijua Nyerere atakufa?Je kwanini kasi ya kupora maliasili zetu iliongezeka baada ya kifo cha Nyerere? kwanini tusiamini aliuwawa na "makuwadi wa soko huria?"Je tuamini aliyoyasema Vicent Nyerere? je kwanini Nyerere "alilazimishwa " kupelekwa uingereza?Nyerere aliaga kwenda kupima afya uingereza lakini alienda kuacha roho yake huko! how comes?Je aliyekuwa daktari wa Nyerere prof David Mwakyusa ana siri gani?

Je ni yeye alimwambia Mkapa atutangazie hali ya baba wa taifa? kuna nini hapa? Iwe isiwe, atake asitake BENJAMINI MKAPA yungali katikati ya mtanange huu, lazima atoke nyuma ya pazia na aje mbele atueleze ukweli ama la tuendelee kuamini Nyerere hakufa kwa mapenzi ya MUNGU.
 
Nenda badilisha hiyo username yako ndio uje useme unachotaka kusema . Haraka sana fanya hivo.
 
Mkapa alisema kuwa baba wa Taifa alimpa wosia kipindi alipoenda kumtembelea Hospital Pale St.Thomas "NAJUA NITAKUFA, WATANZANIA WATALIA SANA, ILA NITAWAOMBEA KWA MUNGU"
 
Kikwete alisema,TUKIANZA KUSHTAKI MARAIS WASTAAFU,HAKUNA ATAKAYEKUBALI KUACHA MADARAKA!
 
Mkapa alisema kuwa baba wa Taifa alimpa wosia kipindi alipoenda kumtembelea Hospital Pale St.Thomas "NAJUA NITAKUFA, WATANZANIA WATALIA SANA, ILA NITAWAOMBEA KWA MUNGU"

Mkapa anajua hi story na haya mambo si ya kuupuza kabisa!hizi tuhuma zilizagaa sana mwanzo baadae zikazimwa, Nyerere jr kaziibua tena, ni muda muafaka Mkapa ajibu kila tuhuma kuhusu mwalimu baba yetu wa taifa na mtetezi wa nchi na wanyonge!
 
Kikwete ulimtetea Benja eti mwacheni apumzike alipoanza kurushiwa "maparanja" mara baada ya wewe kuingia madarakani! Unaona jinsi ilivyokuwa vema kuacha achambuliwe? kipindi hiki angekuwa tayari kanyooka! Unaona anachokuja nacho? Benja Toka hadharani useme yote!
 
Back
Top Bottom