Msaada wale wataalumu wa camera

Msaada wale wataalumu wa camera

Luthar

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2011
Posts
519
Reaction score
105
Naombeni msaada kwa wale wataalam wa camera nahitaji video camera ya kazi ndiyo naanza nina laki nne na nusu je ntapata kwa hiyo bei na niya aina gani nzuri Asanteni kwa ushauri wenu wana jf
 
Attachments

  • CHADEMA[1].png
    CHADEMA[1].png
    3.7 KB · Views: 134
Naombeni msaada kwa wale wataalam wa camera nahitaji video camera ya kazi ndiyo naanza nina laki nne na nusu je ntapata kwa hiyo bei na niya aina gani nzuri Asanteni kwa ushauri wenu wana jf

Habari mmkuu, ni PM tuongee biashara, nina VIDEO-Camera inaweza kukufaa!
 
Back
Top Bottom