Siasa Safi Uongozi bora na Imara Vyaipaisha CHADEMA Duniani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siasa Safi Uongozi bora na Imara Vyaipaisha CHADEMA Duniani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mgt software, Mar 20, 2012.

 1. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #1
  Mar 20, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,728
  Likes Received: 1,636
  Trophy Points: 280
  Nilikuwa nikiojiana na vijana wenzangu kutoka CCM CHADEMA na CUF mambo yalikuwa hivi,
  Kijana Chadema: Mbona umekaa na maskitiko huku umeshika tama kwa wasiwasi huku ukiwa mbele bendela ya chama cha chako kilichoshika Utamu? Utani.
  Kijana CCM: We acha tu hapa tupo tu tumekata tamaa, hili ni shina la wakeleketwa lakini limekuwa la watelekezwa.
  Kijana CDM: Kivipi?
  Kijana CCM : si unajua chama lete la chukua chako mapema kilivyo, tumekishabikia sana sana, tukafungua shina la home alone camp , vijana tukahamasika , tuliishia kula makombo ya pesa za chaguzi, magodoro madogo, na kunywa bia si unajua wakina tomasi makala, shy bhahi banghi, walitembeza sana bakuli wakishirikiana na Asha Baraka na mtoto wa Kingunge nasi tumeishia kula makombo.
  KIjana CDM : vipi piki piki mia mbili zilizo pale vijana kinindoni aina ya boxer ni za nani?
  Kijana CCM; ni za wakubwa maana baada ya uchaguzi kila kilichotumika huwa ni mali ya viongozi , hizi si wanarudishia makovu ya hela walizotumia wakati wa kura za maoni!
  Kijana CDM: si ukaforce uchukue wewe si ndio kiongozi wa watelekezwa kama ulivyosema.
  Kinaja CCM: si taki waniMwakyembe; hali si shwari kwenye chaguzi ndogo tunatumia hela nyingi sana kwa kugombania kajimbo, ndio maana baada ya muda tunachoka sana.
  Kijana CDM : vipi mnakufa njaa wakati mna viwanja vikubwa kama Mango garden, vijana kwenyewe, kwa nini msiite wawekezaji?
  KijanaCCM; Ukitaka kufa gusa viwanja hivyo, hivyo ndivyo vyanzo vya miradi, si unaona wamepanda mabenzi ya bei mbaya, hawa wakina Amosi Mkala mpaka mengine anagawia wapambe wake, ukigusa pale kama utakufa kwa kurogwa ni kondolewa ka cheo, kuna majungu balaa.
  Kijana CDM kwa nini usiamie CDM?
  Kijana CCM: sie vijana wakati mwingine hatupendi chama, hila tunajaribu kujificha humu humu ili tufanywe biashara zetu, kama yale maeneo ya wazi unaweka mitumba na bendera ya chama hakuna wa kukuuliza, weka ya CDM uone, kesho haifiki.
   
Loading...