Jambazi lakamatwa na risasi 2040

Jambazi lakamatwa na risasi 2040

Calnde

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2008
Posts
1,373
Reaction score
279
ITV, NEWS ZA USIKU. Jambazi sugu likitokea kigoma limekamatwa na risasi 2040 likiwa limefunga kwenye kiroba cha kawaida. Msako huo umekamata majambazi 300
 
zinuzwa kwa wanunuzi wa scrappers na copper waste
 
Wametengeneza hii story,thamani ya zile risasi ni kubwa..ila kova ni mbunifu zaidi ya shigongo
 
afadhali maana hizo risasi zingeleta tabu huku mtaani
 
Back
Top Bottom