Wenje Kutishia kwa Bastola Mwanza kama Adam Rage

Watanzania bana!!! Tupu!!

Sasa umesikia habari nusu na wewe umeweka conclusion yako. Sisi Watanzania ni mafundi Sana wa kutoa ushauri, hata Kama hatujajua tatizo!!

Sisi wote ni makocha, mahakimu, wanasiasa wasio na mawaa!!!
 
Kisa nini hadi kutishia mtu na bastola. Nashauri iwekwe sheria ya kuwazuia wanasiasa kupanda majukwaani na silaha, mbona walinzi wa kuwalinda wapo??
 
Watanzania bana!!! Tupu!!

Sasa umesikia habari nusu na wewe umeweka conclusion yako. Sisi Watanzania ni mafundi Sana wa kutoa ushauri, hata Kama hatujajua tatizo!!

Sisi wote ni makocha, mahakimu, wanasiasa wasio na mawaa!!!
Kama ulikuwepo ktk huo mkutano,tujulishe.sina sababu ya kutoiamini Wapo Fm. kwani wapo makini kulinganisha na the other popular fm
 
kama ni kweli basi wenje afukuzwe uanachama kabisa..hatutaki mijitu ya hovyo kwenye chama
 
habari hii nimeisikia WAPO FM lakini ilivyoripotiwa ikanitia mashaka japo tukio hilo linaweza kuwa limetokea,kilichoelezwa ni kuwa walikuwa kwenye kikao cha kamati tendaji ya wilaya,mh Wenje alipishana lugha na katibu wa baraza la vijana wilaya ya Nyamagana ikapelekea kujibizana vibaya na mwisho Wenje akatoa bastola na kutaka kum-shoot katibu huyo wa baraza la vijana,akaokolewa na mbunge wa viti maalum kwa kuipiga teke bastola ya wenje,sasa hapa ndipo nilipoanza kuishitukia news hiyo,kwani mbunge huyo wa viti maalum kwa kukmbukumbu zangu simjui kabisa na wala sina taarifa kama kuna mbunge wa viti maalum anatoka mwanza mjini,na jina walilolitaja kwangu ni geni kabisa,nimepiga simu hata mwanza mtu niliempigia alionekana kutokufahamu chochote na sasa najiandaa kupiga simu tena ili nipate picha kamili.
Ila kwa juu juu story nimeipata hivyo,labda Ntamaholo tueleze maana wewe uko MWZ
 
Jamaani,habari zingine,ni kwanini watu wasiwe wakweli?,uwongo unagharimu sana na adhabu yake mbaya sana.

Nilikuwa kwenye kikao hicho,lakini hayo yaliyoripotiwa sikuyashuhudia.

Na nilikuwa .,.
 
habari hii nimeisikia WAPO FM lakini ilivyoripotiwa ikanitia mashaka japo tukio hilo linaweza kuwa limetokea,kilichoelezwa ni kuwa walikuwa kwenye kikao cha kamati tendaji ya wilaya,mh Wenje alipishana lugha na katibu wa baraza la vijana wilaya ya Nyamagana ikapelekea kujibizana vibaya na mwisho Wenje akatoa bastola na kutaka kum-shoot katibu huyo wa baraza la vijana,akaokolewa na mbunge wa viti maalum kwa kuipiga teke bastola ya wenje,sasa hapa ndipo nilipoanza kuishitukia news hiyo,kwani mbunge huyo wa viti maalum kwa kukmbukumbu zangu simjui kabisa na wala sina taarifa kama kuna mbunge wa viti maalum anatoka mwanza mjini,na jina walilolitaja kwangu ni geni kabisa,nimepiga simu hata mwanza mtu niliempigia alionekana kutokufahamu chochote na sasa najiandaa kupiga simu tena ili nipate picha kamili.
Ila kwa juu juu story nimeipata hivyo,labda Ntamaholo tueleze maana wewe uko MWZ
Radio wapo,itabidi warudie hii taarifa kwani nimemuuliza MP wa cdm hajui kutokea hili jambo. au ndio coverup
 
Back
Top Bottom