Haki Kwa Babu Seya [ Serikali ya C.C.M mwacheni ] | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haki Kwa Babu Seya [ Serikali ya C.C.M mwacheni ]

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Muke Ya Muzungu, Mar 19, 2012.

 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Jamani Haki itapatikani lini kwenye hii nchi? Adam Malima kafanya uchafu, serikali inamlinda. Mnyonge aisye na hatia anapelekwa ndani badala yake. Tukimbilie wapi kutafuta haki? Mzee babu seya, kaswekwa ndani, miaka nenda rudi anaoza jela kutkana na kesi ya kubambikiziwa. Mcheza Filamu kajala anasweka ndani wakati mafisadi papa wanapenda kwenye viyoyozi vya V8. Tanzania haki kwa masikini itakuja lini? Inawezekanaje kwa babu seya na watoto wake wote wambake mtoto mdogo? Jamani Tanzania mbona tusitende haki tumwachilie huyu mzee aendelee na maisha yake. Kweli hawa watawala wanalala kwa amani?
  [​IMG]
   
 2. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #2
  Mar 19, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu kwa suala la babu Seya unahoji uhuru wa mahakama au?
   
 3. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,979
  Likes Received: 501
  Trophy Points: 280
  Umepata muda wa kupitia hukumu zote na ukajua kwa nini mahakama ilifikia uamuzi ule mpaka mahakama ya rufaa au umesikiliza zile story zenu za vijiweni! Una watoto wewe? Nadhani wewe unampenda huyu mbakaji aliyejifanya myuzisheni! Nakushauri ujaribu kupitia hukumu ile usome kwa umakini, mahakama sio chombo cha blah blah, the court is not your mother! Endeleeni kubaka!
   
 4. R

  RUTARE Senior Member

  #4
  Mar 19, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hukumu hizo zinapatikana wapi? lakini mtoa mada anatafuta logic ya baba na watoto kumbaka mtoto mdogo kwa pamoja kituu kingine ni kuhusu mwezeshaji wa ubakaji kuachwa huru hizo ndizo logic za watu kujiuliza maswali unapomwuliza kama ana watoto unataka atumie hisia za watoto kuhukumu na sio facts kama wale watu wakisikia mwizi huyo! wanakwenda na mawe na mapanga wanafika wanauua kumbe waliyemwua ni innocent ukiwauliza kwa nini wamefanya hivyo wanakujibu wewe hujawahi kuibiwa? Tafakari hayo!
   
 5. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #5
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,434
  Likes Received: 2,305
  Trophy Points: 280
  Wewe na Batalanda hamna tofauti. Bongo zenu hazienei hata kwenye kizibo cha chupa. Wakati Batalanda akimalizia fedha anazohongwa na Lowasa kwa mabaamedi na mkwewe nyumbani hana kutu wewe unataka wabakaji waachiwe huru....
   
 6. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #6
  Mar 19, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,979
  Likes Received: 501
  Trophy Points: 280
  Kama angekuwa na mtoto angeguswa na suala hili kuweza kutafuta ukweli wa hili jambo. Hukumu ukienda mahakama kuu unapata, ukiwa na jamaa zako wanasheria unapata, sijui mnakuwa wagumu vipi kutafuta ukweli. Mnataka kusema mahakama zote, toka kisutu mpaka rufaa ya mwisho wamemuonea? Nadhani ni bora mtafute ile hukumu na msome ushahidi wa pande zote ndio ujue, nafahamu itakusumbua kuelewa baadhi ya mambo maana yapo kisheria, ila utakuwa umepata picha halisi ya huyo babu seya wenu, kama mtu anaweza kubaka mwanae, mamaye, au bibi kikongwe atashindwa babu seya? Someni hukumu acheni porojo za vijiweni.
   
Loading...