Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Chaguzi mbalimbali zinaendelea hapa nchini,kuna uchaguzi wa ubunge Arumeru na uchaguzi wa udiwani huko Mwanza.Wapiganaji mahiri wa Chadema wanazunguka maeneo hayo lakini mtu huyu wala hasikiki...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Does Your Blood Type Reveal Your Personality? According to a Japanese institute that does research on blood types, there are certain personality traits that seem to match up with certain blood...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ni vituko vya mwaka kwa kweli niliposikia clouds fm mama mtu mzima anajigamba yeye amefanya kazi kama naibu waziri miaka mitano akitetea swala la watoto kuwekewa alam..huku bila aibu akidanganya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Musa Tesha (24), mkazi wa mtaa wa Mwayunge wilaya ya Igunga mkoani Tabora, aliyemwagiwa tindikali usoni mwaka jana wakati wa kampeni za uchaguzi mdogo wa Igunga amewekewa sura ya bandia katika...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Aliyekuwa mkurugenzi wa Kigoma Mjini na ndiye aliyempa ushindi feki mbunge wa Kigoma Mjini hataki kuja kujibu shtaka. Wana JF, atakayemwona amkamate na amrudishe Kigoma kwani yeye ni mshtakiwa wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi na ndugu zangu tumehamia chadema je wewe unasubiri nini? Hamia (chadema) uone mabadiliko. chadema pamoja tutaleta mabadiliko.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Luku Hatimaye Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), limeanza kuingiza mita za Luku ambazo jana zilianza kusambazwa katika mikoa mbalimbali. Kaimu Meneja Uhusiano wa Tanesco, Adrian Sererin...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Si kusema kwa ubaya nadhani ndiyo ukweli halisi 1: VIONGOZI WAMEJIPENDA KULIKO KUWAPENDA WANANCHI WALIOWATUMA KUWATUMIKIA. 2: VIONGOZI WAMEKUWA WAKIOGOPANA WENYEWE KWA WENYEWE KWA KUKEMEANA...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Naskitika saana nikiona mabadiliko ya kimazingira na ya kisayansi na teknologia Tanznia bado tumeshikilia elimu aliyo tupakazia nayo bwana wetu mkoloni mwingereza watoto nasema wakti mwingne wana...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimepata habari Serikali imeamua kuwanyang'anya na kuvunja nyumba za wananchi wa vijiji vya Kibengu, Wami, Usokami, Mapanda, Ilogombe nk bila kuwapa sehemu mbadala ya kwenda. Mbunge wa...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Mwanamchi 03/09/11, Kijana Emanuel Didas Marshai (24), ambaye madaktari walikosea na kumfanyia upasuaji wa kichwa badala ya mguu wa kulia, anakamilisha mchakato wa kuishtaki Serikali na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Najua ameanza toka kipindi cha hayati mwl nyerere pia akaja kipind cha mzee mwinyi mpaka kwa benjamin mkapa...hamna alichofanya mpaka leo zaidi ya kuropokaropoka tu na kusinzia bungeni.....cha...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kitendo cha lowassa kumfanyia kampeni SIYOI atakuwa ametimilza kauli ya LUSINDE ya kwamba wamchague SIYOI kwa ajili ya manufaa ya kifamilia kwani mtoto wa Lowassa ni sehemu ya familia ya SIYOI...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
KCMC hospitali kubwa inayotegemewa kutoa huduma za hali ya juu lakini ina wafanyakazi bomu kabisa. Nilikwenda pale leo kupata huduma. Nikapata maelekezo kuwa niweke kadi yangu ili wakatafute faili...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Waziri Mkuu Mstaafu,Mh. Edward Lowassa akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mtakatifu Ann's ya Mkoani Morogoro. Wanafunzi wa Shule ya Sekindari ya Wasichana...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Kuna taarifa, kuwa wafungwa wengi wanawake, waliohukumiwa vifungo, hapo kabla hawakuwa wajawazito, lkn kadri siku za kutumikia kifungo zikisogea wafungwa hao wanabebeshwa mimba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kupima VIRUSI VYA UKIMI ni muhimu sana!Lakini kuna mambo kadhaa ambayo endapo utakuwa umefanya mojawapo kati ya hayo,KUPIMA NI LAZIMA!Haya ndiyo unayopaswa kujua kama wapaswa KUPIMA au hapana!Hebu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mbunge Sugu ametishia uhai wa CCM huko Kiwira alipoenda kumpigia kampeni mgombea udiwani wa Chadema. Watu kwa maelfu walimpokea na kumshangia mfalme, mfalme. Sugu ameapa kuwa CCM haitapata hata...
5 Reactions
33 Replies
5K Views
Mods naomba msiichanganye na ile ya malalamiko ili wahusika wapate ujumbe vizuri! Hii ni aibu kwa taasisi kama hii kushindwa kulipa madeni! Source mimi mwenyewe nimeshuhudia tangazo Agakhan hospital!
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Back
Top Bottom