Mada chanel ten: tasnia ya filam nchini

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,880
2,758
Mi ni mdau mtarajiwa wa hii tasnia. Kuna wadau wawili wapo kwenye kipindi. Mmoja ni baba haji na wa pili anaitwa bishop. Nahitaji sana kuonana na huyu bishop. Kwa yeyote aliyeangalia hiki kipindi au anamfaham naomba mnipatie mawasiliano yake au namna ya kumpata.
 
Huyu jamaa unayemuulizia binafsi namfahamu vizuri sana, ni msomi wa masuala haya ya filamu
na anafanya kazi kampuni ya Media Solution kama mchambuzi na mshauri wa masula ya filamu.
Kampuni hiyo ndiyo watoaji wa gazeti la Kulikoni linalotoka kila Ijumaa. Kuna namba yake ya simu
kwenye gazeti hilo ambayo ni 0755 666964.

Nadhani ukimpigia wakati wowote utampata kwani hana majivuno kabisa.
 
Duh, Kumbe niliwahi kutafutwa humu jamvini halafu mwenye sijui?
Ndugu zangu nipo humuhumu jamvini japo inaonyesha wazi wakati
natafutwa sikuwa nimejiunga...
 
Huyu jamaa unayemuulizia binafsi namfahamu vizuri sana, ni msomi wa masuala haya ya filamu
na anafanya kazi kampuni ya Media Solution kama mchambuzi na mshauri wa masula ya filamu.
Kampuni hiyo ndiyo watoaji wa gazeti la Kulikoni linalotoka kila Ijumaa. Kuna namba yake ya simu
kwenye gazeti hilo ambayo ni 0755 666964.

Nadhani ukimpigia wakati wowote utampata kwani hana majivuno kabisa.

Mkuu M'bongo,

Naomba tuwasiliane ili tufahamiane zaidi kwani inaonyesha kuwa
unanifahamu zaidi ya ninavyojifahamu, na kibaya zaidi mimi sikufahamu.
Kama hutojali unaweza kuni-PM ili twende sawa...
 
Back
Top Bottom