Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Aslaam Aleukum. Naomba kujua kama huyu Dr Fortunatus Masha wa UDP ni yule aliyekuwa waziri wa Mambo ya ndani? Kama siye, yeye yuko wapi kwa sasa.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
WAZEE WA SRC: SRC NI TBC TAIFA Rais wa afrika ya kusini mh jacob zuma anatarajiwa kuoa mke wa nne Mwisho wa mwezi huu kwa kumuoa mchumba wake gloria bongi. Gloria anakuwa mke wa nne wa mh zuma...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Katika kuadhimisha miaka 50 ya uhuru, kuna mtunzi ametunga wimbo mmoja lakini umekataliwa kupigwa redioni. Sijui hatima ya aliyetunga huu wimbo lakini umebeba maudhui makubwa tuu hasa katika...
5 Reactions
9 Replies
2K Views
AZIMIO LA ARUSHA Kwa hiyo basi, Halmashauri Kuu ya Taifa iliyokutana katika Community Centre ya Arusha kuanzia tarehe 26/1/67 mpaka 29/1/67, inaazimia ifuatavyo:- A. VIONGOZI 1. Kiongozi wa...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wana Jf, karibu MIGAMBA YOTE ambyo bado wapo CCM. Aircdm tiketi zinaelekea kuisha,wale wote munaosuasua muda ndio huu.Ikifika 2014 hatutakuwa tayari kukubali gamba lolote...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tarehe 11-04-2012 chama cha wananchi (cuf) kiliitisha maandamano makubwa ya wakulima kuishinikiza serikali kulipa malipo hayo ambayo wakulima wameendelea kusubiri kwa takribani miezi mitano sasa...
0 Reactions
208 Replies
19K Views
British Airways... 248 planes 50 in order(still making) 10 options Kenya Airways 34 active planes 24 in order 4 options Tanzania 1 active 0 in order 0 options
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kimweri aondolewa TBA Send to a friend Sunday, 21 August 2011 21:30 Ramadhan Semtawa OFISA Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naona bado ukweli unapotoshwa kuhusu umiliki wa eneo la Efatha, Mwenge. Soma hizi data hapa na kama kuna mtu mwenye data tofauti pia aziweke hadharani ili tuzijue na kupata ukweli: EFATHA...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wizi huu umekithiri katika mitaa ya Upanga na inahatarisha magari na usalama wa watu. Jiji na manispaa husika pamoja na polisi hebu kemeeni wizi huu. Mojawapo ya tetesi ni kuwa kuna wakubwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jana nimejaribu kupoteza usingizi kufuatilia hizi tuzo lkn nilijiuliza maswali yafuatayo 1 hivi hawa wanaopewa tuzo vigezo gani vinazingatiwa 2 Baada ya wasanii kuzipata hizo tuzo kwa nini...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
juzijuzi tulisikia tsunami ingetokea pwani ya africa mashariki,je tahadhari gan ingeweza kuchukuliwa hasa na serikali ukizingatia ikulu haiko mbali sana na bahari,je tungetegemea nn
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Basi La MTL lilikuwa likitoka Mwanza kwenda Dar Limepinduka kuna majeruhi na hakuna taarifa za vifo source R.f.a
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Kitendo cha professor Baregu kutokutumia biblia au Quran wakati wa kuapishwa sioni kama ni tafsiri ya kuwa mpagani. 1,Naona fasihi yakutokuwa upande wowote wa dini wakati wa mchakato. wa katiba...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Nadhani hili ni tatizo kubwa kwa Watanzania. Nipo napitia applications za kazi nakutana na changamoto nyingi. Iliyoniacha hoi ni hii ya jamaa kausema moja ya kazi zake ni kuwa signatory wa cheki...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwenyekit wa uvccm arusha amejitoa kwenye chama. Haijaelezwa 7bu. Sosi ukurasa wa fb wa mwananch
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi ni mshabiki mzuri sana kazi nzuri za sanaa. Nilimkubali Marehemu Kanumba katika jitijada zake katika kuiendeleza Tasnia ya Filamu za kibongo. Kibinadamu, inasikitisha kwa taa ya kijana kama...
9 Reactions
26 Replies
7K Views
Kuna ubomoaji unaendelea. Nilimuuliza jamaa mmoja kujua kwanini amebomoa na kurudisha nyuma sehemu yake ya biashara, akasema wamepewa notice ya two weeks, na kusema wameambiwa kuna mhisani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu sujui niwasalimieje mida hii. Saa hii maana naona uvivu hata kuangalia saa. Ndo nimapaki homu mida hii kutoka "project's night site" na leo project team yetu tulitembelea Kisuma Night Club...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ukiacha maajabu ya ziwa Ngozi pale Mporoto Mbeya, vilevile kuna maajabu ya mto unaoishia kwenye shimo. Mto huu uko kijiji cha Shemwengo ukishatoka Tazama Pipeline kwenye mteremko unapotoka Mbeya...
1 Reactions
73 Replies
16K Views
Back
Top Bottom