Tuzo za killi aibu

Yasser5

JF-Expert Member
Mar 15, 2012
207
17
Jana nimejaribu kupoteza usingizi kufuatilia hizi tuzo
lkn nilijiuliza maswali yafuatayo
1 hivi hawa wanaopewa tuzo vigezo gani vinazingatiwa
2 Baada ya wasanii kuzipata hizo tuzo kwa nini baada ya kusonga mbele wanarudi nyumba aka 20%

3 ............ Ongeza na nyingne
 
Kwenye RED: Nia yako nini hasa? Na unataka tuongezee nini wakati wewe ndiye uliyeweka thread hapa? kama haifai usingeweka manake wewe mwenyewe unaona haijatimia.
 
Jana nimejaribu kupoteza usingizi kufuatilia hizi tuzo
lkn nilijiuliza maswali yafuatayo
1 hivi hawa wanaopewa tuzo vigezo gani vinazingatiwa
2 Baada ya wasanii kuzipata hizo tuzo kwa nini baada ya kusonga mbele wanarudi nyumba aka 20%

3 ............ Ongeza na nyingne
Kwa hiyo ukaona ni vizuri pia utupotezee muda na sisi kwa kuwa wewe ulipoteza usingizi?
 
Back
Top Bottom