juzijuzi tulisikia tsunami ingetokea pwani ya africa mashariki,je tahadhari gan ingeweza kuchukuliwa hasa na serikali ukizingatia ikulu haiko mbali sana na bahari,je tungetegemea nn
Kutokana na experience ya maafa ya mvua za mwisho wa mwaka jana ambazo zilinyesha kwa takribani siku mbili tu lakini hali ilikuwa mbaya sn Basi Tsunami ingeweza kuuwa na kuathiri takribani robo tatu ya DSM coz of mfumo mbovu wa mpango mji wa DSM.So tujiandae kabla ya maafa wadau kwa serikali kuboresha mipango miji uweza kukabiliana na Maafa mbalimbali
kwani kuna serikali iliyoweza kudhibiti tsunami duniani? Tsunami mwenazake ni mbio tu kuelekea milima ya uluguru ,usambara, udzungwa ,kilimanjaro na maeneo mengine ya miinuko. isitoshe kwa tanzania hakuna kitakachofanyika kutokana na karibu serikari nzima ingekuwa ya kwanza ku-tsunamiwa kwa maana ya ofisi zao na nyumba zao za kuishi kuwa pembezoni ya bahari,hii ingewakumba na asilimia kubwa ya mafisadi yaani kwa mtazamo wangu tungekuwa better off baada ya tsunami! nadhani yangekuwa mapinduzi murua ya majimaji!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.