Ndugu zangu wana jamii,mimi ni Mtanzania ambaye nasikitishwa sana habari ya kila siku kwa Watanzania kunyanyasika katika nchi yetu,Habari hii ni kutoka Mirerani Mkoa wa Manyara Wilaya ya Simanjiro...
Mimi napata tabu sana kupata majibu sahihi kwa kumuona kila mahari palipo na mikusanyiko ya watanzania Mhe. Edward Lowasa hata ambapo mimi sioni kama anatakiwa awepo na kupewa fursa ya kuongea. Je...
Wana JF
kiukweli hawa BAYPORT hawana huruma kabisa hususani kwa wazazi wetu wasioelewa nini maana ya mkataba,
BAYPORT wamemrubuni mzazi wangu(MWANAHEWA HASSAN MTOLERA) ambaye ni mwalimu pale...
Wamejaa hekima kuliko wazee wote wa Tanzania
Ni wasikivu hata raisi wetu anajivunia
Sio wabishi kila wanachoambia wanasikia
Ni wataratibu hata ukiwatukana watakushangilia
Watakupigia makofi bila...
Salaams Wanabodi,
Naamini watu wengi waliona Mazishi ya Kanumba kwa kushuhudia umati mkubwa wa watu ulioambatana na vurugu na hatimaye zoezi la wananchi kuaga mpendwa wao kukwama.Huku likiwa...
Wakati ikiwa ni bayana kuwa maafisaa wapatao (30) therathini wa Idara ya Forodha/yaani KAZI TAMU/Customs wamekabidhiwa barua za kusudio la kufutwa kazi, bila shaka inavuta zaidi kutaka kujua kuna...
Nawasilisha ndugu zangu wana jamii F
kwa fraha yangu niliyo nayo kuwaandikia leo kwenu hii ikidhihilisha ni kwa jinsi gani nimeguswa na hii JF
Ni kwa kipindi kifupi nikimanisha kipindi kama cha...
Ndg wanajf nakerwa na kuhuzunishwa jinsi gani idara ya uhamiaji Geita hawako makini. Mgodi wa dhahabu wa Geita (GGM) kila kukicha unaajiri wafanyakazi kutoka nje hasa kutoka ufilipino, ktk kampuni...
Nilishangaa kuona katika ibada (kupitia kwa Michuzi Blog), bila aibu wengine wamepiga magoti au kuinamisha kichwa ilhali mmoja anasoma simu! Hebu angalia...
Vijana wa tanzania bara na umbumbu wa uelewa...!imegunduliwa na tume ya kujipima utawala bora,kuwa vijana wengi watanzania ni mambumbu na hawana uelewa wowote,
moja na kubwa lilowashangaza hadi...
Kwa siku za karibuni nimewasikia mkiwatangazia wateja wenu kuwa wakiongeza salio kwa M Pesa wanapata nyongeza ya 25% lakini kila nikiongeza sijaona hiyo nyongeza. Hii ikoje?
Nimenunua luku kwa airtel money lakini sijapata umeme kwa kupata ujumbe mara nyingi wa sms kwamba service haipo kwa sasa na nijaribu tena baadae. Cha ajabu hela wamekata.
Gazeti la kiislam la AN-NUUR katika hali ya kushangaza limeibuika na kuunga mkono kauli ya mwanasiasa mdini Edwin mtei na kuwataka eti watanzania kumpongeza mzee huyo,hii nchi kama siielewielewi...
Habari za wikiendi wanaJamii. Naomba msaada juu ya tatizo hii. Nimemtumia mtoto wangu pesa toka jana kupitia tigopesa. Cha ajabu ni kwamba mpaka leo hajapata meseji ya kupokea pesa, na hata...
Air Tanzania iliokuwa inaondoka leo Kigoma nusura kuanguka wakati ikiruka na imejipiga chini ndani ya bwawa ila hakuna abiria aliyepoteza maisha.
========
Habari zaidi..
Ndege pekee ya Shirika...
Kwa kweli vodacom mmechemka,jipangeni yani inaonesha wazi kabisa mshindi mmempanga wenyewe,we mtu mfanyakazi wa gereji anapigiwa na kutaarifiwa ameshinda then anauliza hizo hela mie nitafanyia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.