Sakata la malipo ya korosho sehemu ya pili, Tandahimba kimenuka..! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sakata la malipo ya korosho sehemu ya pili, Tandahimba kimenuka..!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by SALOK, Apr 13, 2012.

 1. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #1
  Apr 13, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2,675
  Likes Received: 866
  Trophy Points: 280
  Tarehe 11-04-2012 chama cha wananchi (cuf) kiliitisha maandamano makubwa ya wakulima kuishinikiza serikali kulipa malipo hayo ambayo wakulima wameendelea kusubiri kwa takribani miezi mitano sasa! Mkuu wa wilaya aliwajibu kwa kejeli na dharau waandamanaji hao kwamba yeye hajui chochote kuhusiana na korosho wala si wajibu wake kulishughulikia tatizo hilo, kwa hasira wananchi wameziba bara bara ya mtwara/newala na zile za vijijini pia ktk baadhi ya vijiji wamefunga shule za msingi na sekondari.
  SOURCE_PRIDE FM
   
 2. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #2
  Apr 13, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  hao cafu wanaongozwa na nani kwenye hayo maandamano! manake lipumba kesha sema yeye saizi yake ikulu tu, nyie kapigweni mabomu, au amemtuma sefu huko!
   
 3. MMAHE

  MMAHE JF-Expert Member

  #3
  Apr 13, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 831
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  huyo no mrs (j....), hata watangazaji wa Pride fm walipomuhoji kawajibu u2mbo , wajawazito, watoto, wagonjwa na abiria wengi wamekwama njiani tangu jana, njaa zinawauma wananchi wamegoma hata kuwauzia chakula.
   
 4. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #4
  Apr 13, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2,675
  Likes Received: 866
  Trophy Points: 280
  maandamano yalishafeli mkuu sasa hivi ni wananchi wenyewe!
  Updates; ktk kijiji cha kitama kuna askari wakiongozwa na ocd wamefuata magari yaliyokwama ktk kijiji cha kitama kuelekea tandahimba! Hali ni ngumu jamani!!
   
 5. MMAHE

  MMAHE JF-Expert Member

  #5
  Apr 13, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 831
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kumbe ulipochangia juzi hukujua wanaongozwa na nani?
   
 6. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #6
  Apr 13, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2,675
  Likes Received: 866
  Trophy Points: 280
  Askari pamoja na msururu mrefu wa magari unaelekea tandahimba lakini habari niliyoipata hivi punde ktk kijiji cha madaba kilomita chache kufika tandahimba kuna moto mkubwa unawaka Barabarani, inasemekana wanakijiji wamewasha moto huo ili kuuzuia msafara huo! Hali ni tete bandugu!!
   
 7. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #7
  Apr 13, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  Kutokujua si kosa, kosa ni kukataa kuwa hujui, elewa pia kuandamana ni jambo moja, na kuongoza maandamano ni jambo jingine kabisa. mchango wangu wa juzi ulilenga maandamano.
   
 8. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #8
  Apr 13, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2,675
  Likes Received: 866
  Trophy Points: 280
  MKUU maandamano ya juzi yaliongozwa na Julius Mtatiro na mwenyekiti wa wilaya wa Cuf Kattan Ahmadi Kattan, na yaliishia kwa mkuu wa wilaya, kinachoendelea sasa ni matokeo ya kauli mbovu za watawala wetu ambapo wananchi wameamua kufanya kile wanachokiweza!
   
 9. MMAHE

  MMAHE JF-Expert Member

  #9
  Apr 13, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 831
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35


  wataishia pale kitama ya pili kwenye shimo lililochimbwa barabarani ucku!
   
 10. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #10
  Apr 13, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  Maelezo yako ni mazuri, kwa maana ya demokrasia, nawaunga mkono waandamanaji wanavijiji. kila la heri.
   
 11. AirTanzania

  AirTanzania JF-Expert Member

  #11
  Apr 13, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  Wapige moto ofisi ya mkuu wa mkoa na wilaya halafu waje huku Magogoni nako wapige moto pia, tumechoshwa na ujinga wa hawa wakoloni weusi
   
 12. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #12
  Apr 13, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Wanakijiji mkiweza tandikeni hao police maana wanatumika vibaya kugandamiza na kuwanyima haki Watanzania masikini tuliowengi.Wadau tunawaomba muendelee kutujuza kinachoendelea huko.
   
 13. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #13
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Huko ni kwenda nje ya utaratibu; jana bungeni waziri mkuu katoa tamko, serikali ipo katika hatua za mwisho kulipa deni kwa wakulima; Ikumbukwe 80% thamani ya mazao walishalipwa bado 20% wakulima wawe makini wasije kutumiwa kisiasa na CUF
   
 14. N

  Ndyali JF-Expert Member

  #14
  Apr 13, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,222
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Mkuu, watu wa mtwara hawaeleweki kabisaa! Ukitaka ku-prove peleka Tshirt za njano na kijani na cape za ccm, halafu kile kizee chenye mamvi kiende kuwatembelea wataacha maandamano na kucheza ngoma kukitumbuza kile kizee kwa shangwe isiyo na kifani!!!
   
 15. Ileje

  Ileje JF-Expert Member

  #15
  Apr 13, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 3,872
  Likes Received: 1,658
  Trophy Points: 280
  Nadhani wewe ndiye unatumika vibaya! Hiyo 20% kwa nini icheleweshwe kama siyo ufisadi!
   
 16. Jaslaws

  Jaslaws JF-Expert Member

  #16
  Apr 13, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 5,129
  Likes Received: 2,186
  Trophy Points: 280
  kwakua wewe ni mwanamapnduz na uko karibu na magogoni ilo jukum la kuipga moto tunakuachia wewe.
   
 17. MMAHE

  MMAHE JF-Expert Member

  #17
  Apr 13, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 831
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Wangetoa tamko mapema haya yote yacngetokea, wa2 wa tandahimba ni wackivu mno 2ngevumilia 2, 80% imelipwa october hadi leo APRIL wanashindwa nn kumalizia iliyobaki? miezi 7 wapo kimya tu wanategea nn? 2mechoka kwa kweli!
   
 18. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #18
  Apr 13, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  craaap craaap
   
 19. MMAHE

  MMAHE JF-Expert Member

  #19
  Apr 13, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 831
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  acha kugeneralize!
   
 20. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #20
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Badala ya kuanza kuleta fujo ilitakiwa wapitishe malalamiko yao kwa mheshimiwa mbunge wao, Juma Njwayo yeye ni msikivu na mpenda maendeleo
   
Loading...