Vijiwe maalumu vya vibaka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vijiwe maalumu vya vibaka

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mlitika, Apr 16, 2012.

 1. Mlitika

  Mlitika JF-Expert Member

  #1
  Apr 16, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 458
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wakuu sujui niwasalimieje mida hii. Saa hii maana naona uvivu hata kuangalia saa. Ndo nimapaki homu mida hii kutoka "project's night site" na leo project team yetu tulitembelea Kisuma Night Club maeneneo ya chang'ombe. Pale utawakuta ma-CD wa sampuli zote: wa umri wa Lulu, dada zao, mama zao hadi bibi zao wote wapo kibaruani

  Pamoja na mafanikio makubwa ya kupata "data inputs" tulizotaka on our reaearch interest area lakini tuligundua pia shughuli hizo ambazo ni za kawaida hapo kumbe pale ni kijiwe rasmi cha vibaka! Ukikaa muda wa dakika ishirini utaona wanavyokimbiza vibaka wa simu! Yaani pale ni kijiae
   
 2. y

  yplus Senior Member

  #2
  Apr 16, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Maisha mazuri kwa hali mpya,nguvu mpya na kasi mpya
  Maisha mazuri kwa hali zaidi,nguvu zaidi na kasi zaidi

  CCM oyeeeeeeeeeeeeeeeeee
   
Loading...