Rais Jacob Zuma kuoa mke wa nne mwisho wa mwezi huu;

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
WAZEE WA SRC:
SRC NI TBC TAIFA
Rais wa afrika ya kusini mh jacob zuma anatarajiwa kuoa mke wa nne Mwisho wa mwezi huu kwa kumuoa mchumba wake gloria bongi.

Gloria anakuwa mke wa nne wa mh zuma ambae ana watoto 21 na anatarajiwa kupaata
Wa 22 kutoka kwa mchumba wake huyo.

Kwa taarifa hiyo inanionyesha jinsi gani rais huyu ni mzinzi anatembea na mwanamke
Kabla ya ndoa sijui na yyeye akimegewa anasemaje

Kwenu wana ndoa mliotia mimba kabla ya kuoa.
 
Mi namkubali sana Zuma, huyo ni mke wa 6 ila kwa alionao kwa sasa atakuwa wa 4.

Anawazidi sn viongozi wetu wana wanawake chungu nzima wao wanadai wana m1. Kazi zao kumalima malima tu.
 
Pdiddy, wewe unamuita huyu kuwa ni mzinzi kwa kigezo gani?!, umesikia wazuru wakilalamika?, acha ushamba, usimuhukumu mwanaume kwa mila na tamaduni zako- yeye bado anaogelea kwenye proper culture and norms za kabila lake wewe unaleta imani zako uchwara.
WAZEE WA SRC:
SRC NI TBC TAIFA
RAIS WA AFRIKA YA KUSINI MH JACOB ZUMA ANATARAJIWA KUOA MKE WA NNE
MWISHO WA MWEZI HUU KWA KUMUOA MCHUMBA WAKE gloria bongi

GLORIA ANAKUWA MKE WA NNE WA MH ZUMA AMBAE ANA WATOTO 21 NA ANATARAJIWA KUPAATA
WA 22 KUTOKA KWA MCHUMBA WAKE HUYO..

KWA TAARIFA HIYO INANIONYESHA JINSI GANI RAIS HUYU NI MZINZI ANATEMBEA NA MWANAMKE
KABLA YA NDOA SIJUI NA YYEYE AKIMEGEWA ANASEMAJE

KWENU WANA NDOA MLIOTIA MIMBA KABLA YA KUOA
 
Zuma mwanaume wa shoka!

Usiombe atakapokuwa anaruka ruka siku hiyoakiwa amevaa ngozi ya chui
 
Mi namkubali sana Zuma, huyo ni mke wa 6 ila kwa alionao kwa sasa atakuwa wa 4.

Anawazidi sn viongozi wetu wana wanawake chungu nzima wao wanadai wana m1. Kazi zao kumalima malima tu.
Mkuu U have made my day! Kumalima-malima lol Lusinde (mzee wa kudadeki) alitusahaulisha kidogo hili
 
Hamshindi wa kwetu. Sema wetu hajitangazi.....


Exactly! Wengine wangetangaza mbona ni balaa? Na wangetangaza hadi mahawala ungeshangaa kumbe yule nanihii.... nani vile? Yule... Ee... Nimemsasahau kidogo. Aah, yule aliyesababisha mwizaji nguli mmoja akafa juzi juzi... Eheee; umeona, ee? Sasa kwa taarifa yako usishangae kusiki kumbe hiyo ngozi alikuwa anapelekewa prezidaa fulani; si unajua tena bongo jiji la matanuzi? Hehe hehe heheee!

Msinikoti vibaya. He he he heeeeee! Uuuwiiiiiii!
 
wazee wanatumia nguvu zao wanaongezea na kamzizi kutoka lyambalyamfipa kidogo.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom