Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimesikia uchambuzi wa magazeti asubuhi ya leo kupitia MAGIC FM,gazeti la uhuru wameandika kuwa Milya alikuwa ni mzigo kwa ccm na kwamba alikuwa ni mmoja wa magamba yaliyokuwa yanategemewa...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Wana jf naombeni ushauri jamani, kama nilivyowaambia jana kuwa nimejifungua jana mtoto wa kiume kwenye thre yangu, nashukuru sana kwa wote walionitumia salam za pongezi , nasema tu mbarikiwe sana...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Tutakuwa pamoja nanyi tukizungumzia moyo wenye huruma, moyo wenye ulaini, moyo ulio umbiwa huruma. Tutakuwa tukizungumzia moyo ambao umeumbwa siku ulipoumbwa, ukapandikizwa huruma, tutakuwa na...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Hivi mbunge wa viti maalum akifariki nafasi yake hujazwa?na kama hujazwa je mbunge atakayeteuliwa ni lazima atoke ukanda wake ule au anatoka kokote?na kama hujazwa je nafasi ya regia mtema...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nilipopita pale Muhimbili majuzi tu, kwa mng'arisha viatu, nilikuta jamaa mmoja anatamba kwamba anataka kuwafunga madaktari wa Muhimbili sababu walimzuia kutibu wagonjwa wanaodaiwa hahusiki nao...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habarini, jamani nataka kujua kama ile Tiba ya kikombe Samunge kwa babu bado inaendelea au imefika mwisho, na kama imefika mwisho mwisho wake umekuwaje?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
KUANGUKA kwa ndege ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) mwishoni mwa wiki katika Uwanja wa Ndege wa Kigoma kumeliacha shirika hilo likiwa halina ndege hata moja inayofanya kazi, kwani ndege yake...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Maoni ya katuni Jana katika safu hii tuliandika tahariri ikikumbusha umma juu ya umuhimu wa kujiandaa kwa majanga yawe ya asili au hata ya kusababishwa na binadamu. Tulisema kuwa majanga mengi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Umeyakuta madudu mengi sana sekta ya elimu katika ziara yako, moja ni ucheleweshaji wa kupanda vyeo walimu na kutozingatia uzoefu kazini-Seniority, pia walimu kutozwa pesa za vitambulisho na Afisa...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
ABG na GGM wameleta wataalam wa upasuaji nchini kwa ajili ya kuwafanyia upasuaji wagonjwa wa 'mdomo wa sungura' huko kanda ya ziwa (source: TBC Habari). Tatizo langu ni kurusha hewani wagonjwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nakumbuka kabla jk hajawa JK, Mama Chalma alikuwa mwalimu pale sinza. Kila mwisha wa mwezi,tulipigana vikumbo wilayani kugombea mishahara. Najua kabisa, hali ile hakuipenda, maana ni hatari kwa...
7 Reactions
40 Replies
5K Views
Naleta hii changamoto wakuu, ina ukweli kiasi gani?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mtoto wa Yusuph Makamba ajulikanaye kama Amani Makamba,amefungwa Jela miezi 6 kwa tuhuma za kujipatia Mbegu za Mahindi zenye thamani ya Millioni 2.6. Mtuhumiwa ametiwa hatiani tarehe 5/4/2012...
0 Reactions
30 Replies
8K Views
maisha yangu siwezi kuwa askari wa jeshi lolote bora niwe mkulima wa ndengu kuliko kumwabudu, kumgeshim kiongozi fulani kuliko hata mungu? wacha nife masikini bwana
0 Reactions
7 Replies
1K Views
TCU wanatisha kuomba kujiunga na chuo kikuu lazima ukalipe Benki kwanza TSh 30,000/= kama huna maombi yako hayatashughulikiwa.
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Ndugu wana JF Kumezuka ubishi mkali sana hapa mtaani, kwamba kati ya Mkoa wa Rukwa na Mkoa wa Kigoma, wepi wanahaki ya kutamba kifua mbele kwamba wanawazidi wenzao kimaendeleo ktk kada zote? KURA...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Binafsi huwa sipendi mambo ya kuitukana serikali na wanasiasa lakini katika hali ya uchumi ilivyosasa kuna mpango kambambe ushapitishwa na HARUNA MASEBU na wenzake kuwa kila aliyechimba kisima cha...
1 Reactions
58 Replies
7K Views
Ni wale walioamua kuacha na kujiunga katika vikundi ushauri vyao huko Pemba/Zanzibar!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wapendwa wanajf,nimekumbuka sana wimbo niliofundishwa na mwalimu wangu aliyenifundisha eng.lang. Darasa la nne mwaka 1984 pale kitanewa p/s kule idodi iringa.TULIKUWA TUNAIMBA'THIS IS A...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Watanzania wenzangu najua mnafahamu kuwa tuna chuo kikuu kipya kilichopo wilayani Bagamoyo mkoani Pwani lakini kulikuwa na ulazima gani kwa rais wetu JK kulazimisha hiki chuo kujengwa kwao,mie kwa...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Back
Top Bottom