Uandaaji wa CV

CAMARADERIE

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
4,419
1,920
Nadhani hili ni tatizo kubwa kwa Watanzania.

Nipo napitia applications za kazi nakutana na changamoto nyingi. Iliyoniacha hoi ni hii ya jamaa kausema moja ya kazi zake ni kuwa signatory wa cheki. Lakini kwa ujumla uandaaji wa CV sio mzuri kabisa. Nini kifanyike?
 
Cha msingi kwenye somo la GS na CL waongeze/wafundishe hicho kipengele.
 
Back
Top Bottom