Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Siwaelewi hawa jamaa wa simu, wanatula hela kwa wizi. Kuna wakati tigo wanatoa ofa ya muda wa maongezi lakini ukipiga simu wanakukata tu kama kawaidia. Airtel nao wana utaratibu wa JIRUSHE, yaani...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mh. Mary Nagu jana aliondokewa na baba yake mzazi hivyo naomba tuchukue nafasi hii kumpa pole sana. Wakati wa msiba ni kuomboleza hebu tuachane na tofauti za kisiasa haswa matamshi ya kule Arumeru.
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Katika hali ya kusikitisha na kukatisha tamaa, maisha, ambayo nayaita ya kawaida, katika jiji letu, yameota mbawa. Hata bamia limekuwa ni anasa - kilo moja ni shilingi 3,000. Najiuliza maswali...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hivi Waziri wa Wizara ya Afrika Mashariki,je anaruhusiwa kuingia katika Bunge la Afrika Mashariki?
0 Reactions
0 Replies
888 Views
Ndiyo wakuu! Kwa habari nilizo pata now ni kuwa Msnii wa bongo flava, Sumalii a.k.a Mzee wa hakunaga amefiwa na mama mzazi hospital ya Taifa mhimbili baada ya kusumbuliwa na ugonjwa wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Je watanzania tunajifunza nini kupitia EALA.Je kiswahili kimetumika hapo.Kiengereza kinatakiwa kuanza kufundishwa kuanzia primary hadi chuo.Hapo ndiyo tunaona umuhimu wa kizungu.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Najiuliza kila siku eti zile vita zinazoitwa vita za dunia(1&2) zilikuaje?? Kwamba kila nchi inakuwa kwenye mapigano?? Unapigana na nani na kwanini?? Au yoyote yule aliye mbele yako halali yako...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Kuna kitu kinaclick kwenye akili yangu kila mara kinachoniambia kuwa kunaajali mbaya ya ndege itatokea tz soon, ndani ya miezi sita ijayo. Nimejaribu kui-deny hii hali lakini nimeshindwa...
2 Reactions
129 Replies
14K Views
Wadau, habari tulizozipata zinasema kuwa Gulam Dewji, yule mmiliki wa Mohamed Enterprises (MetL) usiku wa leo katuma vijana wake nchi nzima na wamefanikiwa kununua nakala zote za Jamhuri na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jaman nadhan huu ni time ya maoni ya mambo yahusuyo KATIBA, sasa jaman tujaribu kuliangalia hili kwa time hii. Mfano mamlaka ya rais pamoja na kinga aliyo nayo ya kutoshtakiwa, 2, undwaji wa tume...
0 Reactions
1 Replies
928 Views
Mjaa jaa na upwa hali wali mkavu wakati bunge la jana likiwaka moto mh zitto kabwe alisimama na kusema kuna wabunge wamehongwa na wengine mawaziri ili kuua chc na hivyo kuficha ubadhirifu wa fedha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mda wowote kuanzia sasa nauli za daladala zitapanda ili kukidhi hari halisi ya uendeshaji na gharama za maisha kupanda. Watanganyika tujipange kwa haya maisha bora ya kwa kila Mtanganyika...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Nimekuwa nikijaribu kuchunguza hasa kazi ya makamu wa rais ni ipi, na je umuhim wa cheo hiki ni upi kimantiki hali una waziri mkuu?sikupata jibu, nimekuwa nikijaribu kumuona makam wetu akikata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Michuzi blog ni jukwaa ambalo halikosi kutoa habari inayohus Chama cha Mapinduzi. Lakini leo tangu kupatikana kwa habari ya Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Arusha Ndugu Malya, Michuzi blog haijaweza...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Arusha, James Ole Millya, amejivua nyadhifa zake zote ndani ya chama hicho na kujiunga Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Inasikitisha sana kuona Media zetu zinakuwa na unafiki wa kuleta habari kwa watanzania muda si mrefu tutaanza kutoa maoni juu na katiba yetu ili kupata tanzania tunayoitaka 1. Juzi tarehe...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
mwanamama mmoja mgombea wa ubunge katika bunge la jumuia ya Africa Mashariki amejitoa dakika za mwisho katika kinyanganyiro hicho kwa kile kinachoonekana kuwa ni kushindwa kujieleza kwa lugha ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Napita muda huu ubungo muda huu,Nimeona hapo magari ya maji washa mawili,difenda 2 wakiwa wako full yani kama kuna shughuli. Doria ya kuwafukuza maskin wenzetu waliojiajiri wenyewe. Maswali...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
hawa tigo..r fully owned by foreigners...their services are poor...taxes kupima hatuna recordi zao..... while Airtel Tanzania ambayo sasa inamilikiwa na Indians...wameguuza kila k2 chao into a...
0 Reactions
0 Replies
844 Views
Jamani nahitaji kuwasiliana na bwana lowassa lakini kama kwaida appointment na vigogo mwaka hadi mwaka humpati mwenye namna yoyote ile anisaidie si lazima nimuone face 2 face hata kwa mail au text
0 Reactions
1 Replies
857 Views
Back
Top Bottom