Karibu air-CHADEMA tiketi zinaelekea kuisha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Karibu air-CHADEMA tiketi zinaelekea kuisha

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mr.mzumbe, Apr 16, 2012.

 1. Mr.mzumbe

  Mr.mzumbe JF-Expert Member

  #1
  Apr 16, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 802
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 60
  Habari wana Jf,
  karibu MIGAMBA YOTE ambyo bado wapo CCM.
  Aircdm tiketi zinaelekea kuisha,wale wote munaosuasua muda ndio huu.Ikifika 2014 hatutakuwa tayari kukubali gamba lolote lile.January,nape,shigela,bashe{huyu anaogopa kibarua kwa rostam kitaota chasi}.
   
 2. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #2
  Apr 16, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Acha unafiki kijana!!

  Hicho ndicho mnafundishwa hapo mzumbe???
   
 3. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #3
  Apr 16, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,947
  Likes Received: 1,507
  Trophy Points: 280
  Hah hah hii ndege itamwacha Kingunge ambaye baado yuko ndotoni anapodai CCM ni safi haina kitu kinachoitwa mafisadi,Wazee wa CCM meli hiyoo pooooooooooooooooooo
   
Loading...