Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jaman mtusaidie Iringa mafuta ya taa imekuwa ishu. Wiki ya 2 hayapatikan hapa mjin je ni uchakachuaji au kuna shida gan maana serikal haisemi lolote au inaona kawaida? Tuokoeni!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari, natafuta gari aina ya SUZUKI GRAND VITARA kwenye yard za hapa bongo, je ni wapi nitapata? naomba pia nijue faida na hasara za kununulia gari hapa bongo.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna haja bunge kutunga sheria ya kuwabana wenye makampuni ili watoe huduma nzur zaid.Hapa naongelea hasa simu na umeme(TANESCO).kama wakikata mawasiano kwa mda flan wawalipe wateja wa 10%ya mda...
0 Reactions
1 Replies
814 Views
Hongera sana JF Jana tuliingia jengo la TBC na kupata habari njema kwa wana JF,baada ya uongozi wa TBC kupata taarifa kutoka JF kuwa Tanzania inatangaza habari za Africa Mashariki kwenye Taarifa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimeshuhudia ajali mbaya sana kwenye mataa ya Chang'ombe na Mandela iliyohusisha magari mawili Toyota Coaster na Suzuki Grand Vitara mali ya serikali. Mimi ni mtumiaji wa barabara hii (makutano)...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
kumekuwapo na ongezeke kubwa la matumizi ya mtandao kwa maana ya kutoa maoni.Hoja yangu ni kuwa 2jaribu kuandika v2 wth facts n research as real a great thnkers..nadhan hata Mods yawapasa kuedit...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Future of Nairobi Siui tunashindwa nini kutumia Reli ya Posta - Ubungo mapaka Wazo Hill (Ramani zipo tu walioenga kwenye proposed railway si wavunjiwe tu nyumba !!),Reli ya Posta Mpaka Pugu...
0 Reactions
0 Replies
842 Views
Dalili zote zinaonyesha wazi muungano wa Tanganyika na Zanzibar upo ukingoni,je kama huu mdogo tumeshindwa utakuwaje huu wa East Africa??kuna umuhimu wa kukaa na kutafakari na kuamua kujiondoa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wazanzibar tunacho kidai ni kujitenga na muungano wa tanganyika na zanzibar HATUWA WALIZO ZICHUKUWA WAZANZIBAR AMBAZO NI SALAMA KABISA 1) WALIKWENDA UN KUDAI UHALALI WA MUUNGANO JE SEREKALI YA...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Vyama Vingi kumalizika Tanzania Bara na Visiwani mwaka 2010, Dunia ilishuhudia zoezi la kihistoria la kupiga kura ya maoni iliyopelekea mabadiriko ya Katiba yaliyotoa...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Mara baada ya kuukwaa uheshimiwa sijamsikia tena maalimu SEIF wa Zanzibar... kakaa kimya kama hayupo vile...ile misimamo yake ya kumbozi imeishia wapi kwa huyu bwana mkubwa?? au na yeye...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Miaka michache iliyopita, Maalim Seif Shariff Hamad aliwahi kuleta mjadala kwa kusema tatizo la SMZ ni Wahafidhina walioko Serikalini. Sijui alimaanisha kama ni Uhafidhina wa Kidini au Kisiasa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jee waungwana nani asiojuwa kuwa Sep 11 Waislam walitolewa tu kafara, lakini nyuma ya Pazia Kulikuwa na mkono wa Yahudu? Wao ndio waliokula kitoweyo na waslamu wakarushiwa mavumba (lawama). Sasa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Uamsho wa kipentekoste Uamsho wa Ki-Roman Catholic Uamsho wa Ki-Anglikana Uamsho wa Ki-shea Uamsho wa Ki-answal Uamsho wa ki-budha Uamsho wa kipagan Uamsho wa kihuni. Uamsho wa kigongo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Pesa haziendi hewani kwa wakati, wakala anakwambia pesa kwake imetoka ukiangalia salio hulioni! Pesa ikienda kwa mtu mwinggine kimakosa unaambiwa itarudishwa kwako baada ya masaa 24 kumbe uongo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Redio tumaini kuna jamaa anaelezea jinsi Tigo-pesa wanavyoiba hela.
0 Reactions
1 Replies
824 Views
Na Mwandishi Wetu VIJIJI nane kati ya 21 vinavyounda Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori katika Tarafa za Idodi na Pawaga (Mbomipa) vimetishia kwenda mahakamani kupinga mikataba ya uwekezaji...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani Wakuu! Jeshi la polisi limekuwa likitumia nguvu kupita kiasi kushambulia wananchi ambao mara nyingi huwa wanatekeleza haki yao ya KIKATIBA. Moyo unaniuma kwa kuwa vitendo hivyo vya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Anadaiwa kumkunja shati mwandishi wa habari wa gazeti la mtanzania Audax mutiganzi kwa madai kuwa amekuwa akianadika habari za kudhalilisha manispaa ya bukoba.kuna issue ya kuboboa soko kuu ambapo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Maoni ya Katuni Vurugu kubwa zilitokea Zanzibar juzi na jana na kusababisha shughuli za kiuchumi kusimama baada ya kile polisi wanachosema ni matokeo ya jaribio la wafuasi wa Jumuiya ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom