Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kumekuwa na habari nyingi muhimu za dunia ya tatu (3rd world countries), ila utakuta C.N.N na vituo vingine vya habari vinaona za kwao kwenye habari za kimataifa ni muhimu kuliko hata kuonyesha na...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nalia na kuomboleza kuwa hawa mafithad walio jichana na kujinoma raslimal za taifa le2, naomba liwe somo kwa mafithad na majiz yote yaliyojichimbia ndan na nje ya taifa hili, yasije yakawakuta...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Obama aumbuka hakumuuwa Osama. 1.Asema kachero mmoja wa CIA. 2.Aliogopa kujitafutia umaarufu. Chanzo AN-NUUR gazeti la leo may 30. My take: Kama Osama alikufa zamani kwanini Al Qaed...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kumekuwa na dalili za kuendelea ama kutokea machafuko makubwa zaidi upande wa pili wa nchi yaani Tanzania visiwani, imefikia hatua nyumba za ibada kuchomwa moto na wageni hasa wanaotoka upande wa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Si serikali 1 au 2 au3 CHADEMA kama chama kinachotetea haki za wanyonge haiwezi kuwa na sera za unyanyasaji za ccm ndio maana inaunga mkono Wazanzibari kujiamulia kama wanataka kujitoa kwenye...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Ndugu so called "great thinkers" Nimekuwa nikifuatilia mijadala ya Jukwaa hili la siasa na nimegundua kuwa "threads" zinazozungumzia maneno wanayosema watu na matukio yanayotokea zinachangamkiwa...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Hii inadhihirisha jinsi gani serikali ya CCM inavyopeleka nchi kubaya kwa kuendeleza urasimu wa kipumbavu katika ulipaji wa mishahara kwa watumishi wasio kuwa na akaunti NMB.Wafanyakazi wa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
kimsing,, Sizan kama kuna mtanganyika mwenye akili timam kwenye karne hii na zama hiz ana chekelea na kukeneka na kufurah et kwa kuwa ananufaika na muungano, sis wenyewe watanganyika hatutaki...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani hivi kuna nini hapa crdb -bank na halimashauri ya jiji la mwanza? Hadi leo hii wako kimya kuhusu mishahara yetu sisi tunaopokelea bank hii. Kwanini tuna adhibiwa hivi jamani?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mkuu leo ni siku ya 3 tangu j.3 tarehe 28.5.12 mawasiliano ya simu katika kampuni ya vodacom hapa kibondo hakuna.kwakweli wananchi tunateseka sana.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
jaman huyu mzee c ndo yue wa sukar mwaka uleeeeee,duh kumbe na kwenye maikarus nako yumo!
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Utamaduni wetu ni ‘kanusha, kanusha, kanusha'… tena kanusha haraka sana. Wote tumezoea viongozi wetu wakikanusha kila lisilo zuri linalosemwa juu yao. Kwa waziri wan chi ofisi ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Na Nyaronyo Kicheere - Imechapwa 23 May 2012 Waraka wa Wiki HIVI ni mimi peke yangu ninayesikia na kusoma au nanyi wenzangu mnasikia na kusoma habari hizi? Eti kwamba sasa Chama cha Mapinduzi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hivi humu JF kweli wamo Great thinkers????? Kila siku ni thread za Zanzibar hivi Zanzibar vile, Magazeti ya bara ndio chakula chake Zanzibar ?? HIVI HUKU ZANZIBAR KUNA NINI HATA WATANGANYIKA...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
THE ASSOCIATION FOR ISLAMIC MOBILISATION AND PROPAGATION P. O. BOX: 1266 -Tel: +255-777-419473 / 434145- FAX +255-024-2250022 E-Mail: jumiki@hotmail.com MKUNAZINI ZANZIBAR Tarehe 27MAY2012...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mwaka mmoja uliopita nilichaguliwa kuwa mwenyekiti wa kamati ya kutunza mazingira hapa chuoni kwetu na nilipitishwa kwa kura nyingi sana na wanachuo wenzangu na kupata ushindi wa kishindo. Lakini...
3 Reactions
73 Replies
6K Views
Wakazi wa Sinza Mori wametelekezwa na viongozi wa Serikali kwa kuonekana si sehemu ya Tanzania. Sitaki kuamini kuwa wakazi hawa wanapata adhabu ya kuwa na huduma mbaya za jamii kwa kuchagua diwani...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamhuri ya Mwungano wa Tanzania inapita katika kipindi kigumu cha Mwungano. Mwungano huu, kwa muda mrefu umedumu kwa kushikiliwa kwa nguvu, na hasa Mwalimu Nyerere ambaye bila ya mashaka yeyote...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni miezi na Miezi sasa tokea nisikie na kuona gazeti hili la mwanahalisi Hili gazeti lilileta changamoto kwa jamii na kwa wanaJF kwa ujumla katika habari zake. Siku hizi hili gazeti limekuwa...
1 Reactions
82 Replies
10K Views
Kuna taarifa kwama wakazi wa salasala wamevamia shamba la mwekekezaji na kuharibu mali! source itv
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom