TAB: Marufuku kuonyesha habari za Africa mashariki

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
Hongera sana JF
Jana tuliingia jengo la TBC na kupata habari njema kwa wana JF,baada ya uongozi wa TBC kupata taarifa kutoka JF kuwa Tanzania inatangaza habari za Africa Mashariki kwenye Taarifa habari zake wakati Wakenya na Waganda hawafanyi hivyo walichukua hatua mara moja,mkuu mmoja alisikika akisema yote ya nini haya ni upuuzi mtupu,toa hizo taarifa za kipuuzi kwenye Tv yetu,kwa kweli JF ni kioo japo hawataki kukubali
 
Humu wapo wenye hekima bora, jambo lolote la maana hujadiliwa kwa kina.
 
jamani mi naishi kenya ni keli kabisa kuanzia citizen tv kbc ktn hakuna habari za tanzania jamaa wanatuonaga mafala sana kuna siku nilikuwa na mkenya mmoja kaniuliza hivi raisi wenu anajua kingereza kweli... just imagine guys....
 
Back
Top Bottom